Jamani nilikua na download music nililivyomaliza nikataka kuplay nyimbo zote zikagoma mpaka video haziplay kbs, pia hata ring tone ya nyimbo niliokua nimeweka imebadilika na kuita kwa ring tone ambayo ni ya simu. Naomba msaada