Blackberry imenitenda, Naomba msaada Tafadhali.

Blackberry imenitenda, Naomba msaada Tafadhali.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,224
Reaction score
111,171
Waungwana natumaini wote mko shwari,
Nina simu yangu Blackberry tourch 9800, nilikuwa somewhere kwenye vaccation na kwa bahati mbaya picha zote nilizochukuwa kama memory nilipiga kwa kutumia simu yangu.

sasa basi juzi wakati nataka kutoa sim lock ili nipige password ikawa inakataa kuverify nilijaribu mara nyingi baadaye ikaja option kama ya kujirestart ndipo simu ikajirestart na ikaja na sura nyingine na karibu settings zangu zote zikawa zimebadilika ikiwemo ringer tone.

sasa kinachoniacha mimi hoi picha zilizofutika ni zile tu ambazo nilizipiga nikiwa safarini, lakini zile picha za zamani zote zimebaki.
kwahiyo hapa naomba mautundu kama kuna namna yoyote naweza kupata msaada kama kuna backup ya photo inawezekana? maana mimi sikuzidelete bali ni lisimu lenyewe limeamuwa kunionesha The world wonders.
 
hapo bold pana mköno wamtu mkuu c bure(joke)..
Ngoja wataalamu waje
 
Ukikosea password mara nyingi BlackBerry inajifuta hivo ndo ilivyotengenezwa, inafuta memory ya simu lakini sd card haifuti, so picha za zamani zitakuwa kwenye sd na mpya zilikuwa kwenye internal memory. Kwa kifupi hizo picha zimeenda maana bb inafanya secure erase hakuna uwezekano wa kuziokoa.
 
Huu ni ukweli mchungu na unaniuma kweli kweli, kwahiyo hata upande wa blackberry protect kwenye option za backup hakuna namna yoyote ya kuweza kuzipata hizi picha?
 
Ulifanya backup wakati picha zipo kwenye simu? Kama ulifanya basi zinaweza kuwepo kwenye backup.
 
Ulifanya backup wakati picha zipo kwenye simu? Kama ulifanya basi zinaweza kuwepo kwenye backup.
Hapana kiongozi, tena nimejaribu kuitowa card na kuingia kwenye picture hamna kitu, ila nikirudisha card ndio zile za zamani zinaonekana kwahiyo ziko saved kwenye card, tatizo langu kubwa simu sikuiseti picha ziingie kwenye card maana space yake siyo kubwa.
Kwahiyo kwa kifupi zilijistore zenyewe kwenye location device au blackberry kama sikosei, matumaini pekee nilidhani blackberry protect inawaweza kunisaidia hii kitu, lakini sijafanya backup wakati picha zipo kwenye simu.
 
Matola iwapo utapiga picha kwa BB ni lazima itakupa option za ku-save sasa km ulisave katika Media (Memory card) ujue zitakuwa katika hiyo chip, ila km ulisave katika Device Memory basi ujue zinaenda katika Phone na ndi maana umezikuta baadhi / za zamani
Nachokushauri kuna kurasa nyingine za Preload Picture na unachotakiwa ni kurudi hadi Up na uiweke hiyo Memory kadi uzime na kuwasha tena.
Solution ya mwisho nikwenda na simu yako kwenye Computer ya mwenye Divice za BlackBerry aka-Retrive /Restore /back-up huenda zikarudi km ulizidelete utazikuta humo usisahau kuiweka humo kwenye BB hiyo Memory card yake (Media Card)
 
Mkuu Ukwaju ingawa mimi ni mtumiaji wa kipindi kirefu wa hizi blackberry lakini mimi si mshabiki wa kupiga picha, kwahiyo hizo sehemu za picha mara nyingi kwangu ni kama huwa hazina kazi mimi picha mpaka niwe kwenye mazingira tofauti au kwenye event muhimu inayohitaji kumbukumbu, ndio maana sikuwa makini na settings na sikutegemea kama lingetokea hilo tatizo.

Ila kwa kukujibu swali lako ni kwamba mimi sikudelete picha bali ni simu yenyewe ndio ilizimika na kujiwasha na settings zangu zote zikabadilika kuanzia Fonts, ringer tone, wallpaper, na picha zote mpya zikadesapear, safari angalau contact zangu hazikupata madhara zote za kwenye sim card na za kweye phone zimesalimika.
 
Last edited by a moderator:
mkuu matola pole sana mm ilinitokea na nilikuwa nimebackup kwa bb protecter lakini nilipokuja kurudisha picha ckupata kabisa mpk leo kubali yaishe mkuu
 
mkuu matola pole sana mm ilinitokea na nilikuwa nimebackup kwa bb protecter lakini nilipokuja kurudisha picha ckupata kabisa mpk leo kubali yaishe mkuu
Ni kweli life is not fair some time & no body who feel ur pain.

​
 
Pole sana Matola, umenifanya hata mm niwe macho sijajua km kuna k2 km hicho hutokea labda kuna kirusi kilitaka kuingia.
Na km DrPhone naye kakubali na yalishamtokea hata alipo-back up hakikurudi kitu basi cha mwisho usikate tamaa hebu ilinde BB
 
Sio kirusi hiyo ni feature ya simu za Blackberry ukikosea password mara nyingi inajifuta, kwa madai yao hii ni kulinda data zako kama simu ikiibiwa.
Kama haukufanya backup wakati ina hizo picha basi hakuna uwezekano wa kuzirudisha, ungeweza kuzirudisha hiyo feature ingekuwa haina maana.
 
Kama picha zilikuwa saved kwenye divice na hukufanya backup, imekula kwako mkuu, no way out
 
Kama picha zilikuwa saved kwenye divice na hukufanya backup, imekula kwako mkuu, no way out
Yaani angalau niliziupload picha 6 facebook out of 40 pics. ila nimewadissapoint sana marafiki zangu inauma sana nilikuwa naiamini camera yangu ya BB maana ni 5.0 MP auto focus, kumbe bila settings is too risk!!
 
Pole mkuu afu sasa the bad thing and ridiculous in my view ni kwamba hiyo feature huwezi kuitoa i.e. Either uilock simu ukijua Kua code ikiingizwa incorrect code more than 10X its bye bye 2 contacts na vi2 vingine vilivyo kwenye sim or uiache wazi kila m2 aichezee BB yako. But hey hii ni cm made kwa ajili ya powerfull bussiness men(again in my view) so akipoteza sim yake his contacts, nd personal info zisijekuingia mikononi mwa wa2 wengine so ni very usefull feature 2 them. Its Ridiculous i say this on behalf of fellow Android users
 
Good Guy uko sahihi maana sasa hivi ndio naichunguza vizuri imefuta na baadhi ya contact zangu, sikuwa najuwa kama hizi BB kumbe chafya kishenzi. yaani nina hasira basi tu JF kidogo huwa inasaidia kuondowa stress.
 
Last edited by a moderator:
pole ndugu yangu bali nunua simu ya tochi haiko complicated
Nokia kitochi ninayo na Blackberry ninayo na inayo tochi vilevile, ila nimeipenda kwa sababu ni zaidi ya simu na hasa ni kwa ajili ya matumizi yangu ya mobile Internet, huwa sipendi kusafiri na Laptop kupunguza mizigo isiyokuwa na sababu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom