msaada blackberry stormb 9520

Mkuu fafanua unataka nini hasa
You can't change bb pin, sana unaweza kufuta mpangilio wa mtumiaji wa awali kwa kuingiza mpagilio wako mpya, lakini acc yako kweny server za bbm itakuwa ileile kwa maana ya pin ya simu yako
 
yaani nataka nibadilishe kila kitu
 
Menu key>options>securty options>securty wipe>enter
Then andika neno Blackberry
Then press Wipe
Baada ya hapo chagua takataka zote unazotaka kudelete kutoka kwenye simu yako

Muhimu;
Simu iwe full charged
All datas in your divice will be deleted, so unashauriwa kutoa memory card na sim card

Njia nyingine nzuri ni ku upgrade os yako kama unatumia ya zamani

Lakini kumbuka huwezi kubadili pin yako ya bbm kamwe, hiyo ndio kitambulisho chako kwa server za bb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom