TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,097
- 12,724
Kabla hata hajauliza
Material yaliyo tengeneza hiyo sarafu ni yapi?
Kwa kweli siwezi kukujibu kwa kuwa sarafu yenyewe binafsi sijawahi ishika.
Labda atafute wataalamu wa sarafu za zamani wamsaidie kujua material iliyotumika.
Au labda aende BOT kuulizia huenda wanaweza kumsaidia kung'amua material husika.
Au labda ajaribu kuulizia kwa masonara. Ila hapa awe makini wanaweza kumdanganya pia.
Au hata wewe unaweza kutafuta kupitia google na ukaweza kupata majibu pia.
Mapendo.