LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
mkuu kuna dictionary fulani hivi ya kamera ni nzuri sana.kama sikosei inaitwa cam dictionary una install kwenye simu then unapiga picha ya hayo maandishi then unaya tafsiri kwq lugha unayotaka.
nilisha wahi itumia sana kwenye kubadili lugha za kwenye redio za gari
nilisha wahi itumia sana kwenye kubadili lugha za kwenye redio za gari