Msaada: Binamu yangu ameokota kitu mithili ya shillingi

Thats it, google translator imeishia hapo
 
Attachments

  • 1439007527353.jpg
    1439007527353.jpg
    25.5 KB · Views: 547
Binamu yangu ameokota hiki kitu mithili ya shillingi kubwa lakini lugha na material iliyotengenezewa siifahamu.

Tashukuru sana maana hapa tunahisi isije kuwa Freemason wanatutafuta.

Ameikota mlimani.

Mkuu!!,weka namba yako ya simu tufanye mawasiliano.
 
Mungu wangu kuna mtoto wa kaka yangu aliokota kama iyo akaenda kuuza pale kkoo alipata milion 98, alinunua kiwanja akajenga nyumba na gari na biashara juu akafungua ni pm nikuelekeze
Unapenda kujambisha wenzio!
 
Mkuu mbona kimya. Hujatapeliwa bado.? Ila hiyo inaweza ikawa gold ko usiiachie kijingau

Mkuu sijatapelewa nashukru watu wa jf walinisaidia kupata idea ya lugha iliyokuwepo hapo (Ki Russia). Nilicheki kwenye Google Rusia coins,nilicheki nikakosa.
 
Ng'wanapagi,

attachment.php.jpg
Hiyo ni safaru ya zamani ya USSR..
$_35.JPG
Upande wa mbele kuna picha ya Lenin akiwa ameshikilia Gazeti.
Maneno yanasomeka hivi: "V.I Ulyanov Lenin mwanzilishi wa Iskra".
Iskra ni Gazeti lililozinduliwa na Lenin nchini Ujerumani.
Gazeti lilianzishwa mwaka 1900 kama unavyoonekana kwenye sarafu.
Lilizinduliwa kwa lengo la kuwapa habari Warusi waishio Uhamishoni.
Ambao lengo lao ilikuwa kuiondoa madarakani serikali ya wakati huo.

Kwa Ufafanuzi kuhusu thamani yake (if any) nenda kituo cha Utamaduni wa Urusi.
Russian Cultural Centre, kiko jirani na Hosiptali ya Aga Khan.
Ila kama una swali la nyongezo usisite kuuliza nitakupatia ufafanuzi.
Maelezo zaidi kuhusu Iskra: https://en.wikipedia.org/wiki/Iskra
 
Ng'wanapagi,

View attachment 274510
Hiyo ni safaru ya zamani ya USSR..
View attachment 274508
Upande wa mbele kuna picha ya Lenin akiwa ameshikilia Gazeti.
Maneno yanasomeka hivi: "V.I Ulyanov Lenin mwanzilishi wa Iskra".
Iskra ni Gazeti lililozinduliwa na Lenin nchini Ujerumani.
Gazeti lilianzishwa mwaka 1900 kama unavyoonekana kwenye sarafu.
Lilizinduliwa kwa lengo la kuwapa habari Warusi waishio Uhamishoni.
Ambao lengo lao ilikuwa kuiondoa madarakani serikali ya wakati huo.

Kwa Ufafanuzi kuhusu thamani yake (if any) nenda kituo cha Utamaduni wa Urusi.
Russian Cultural Centre, kiko jirani na Hosiptali ya Aga Khan.
Ila kama una swali la nyongezo usisite kuuliza nitakupatia ufafanuzi.
Maelezo zaidi kuhusu Iskra: https://en.wikipedia.org/wiki/Iskra

Kabla hata hajauliza

Material yaliyo tengeneza hiyo sarafu ni yapi?
 
Mungu wangu kuna mtoto wa kaka yangu aliokota kama iyo akaenda kuuza pale kkoo alipata milion 98, alinunua kiwanja akajenga nyumba na gari na biashara juu akafungua ni pm nikuelekeze
🙂🙂🙂 kweli wewe ni kikoozi 🙂🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom