Msaada: Biashara mtaji 3ml

Misspina

Member
Apr 30, 2011
65
11
Salamu wakuu. Nina mtaji wa 3ml nataka nifanye ujasiriamali maeneo ya BUGURUNI, BUNGONI, AMANA AU ILALA BOMA, naombeni msaada wa mawazo ni biashara gani nitaweza kuifanya kwa mtaji na maeneo hayo?
 
Kama una nafasi na muda mwingi wa kusimamia fungua biashara chips mkuu iwe classic utarudisha hiyo pesa na kufungua multiples chips stalls soon na uta grow fastaaa
 
Kama una nafasi na muda mwingi wa kusimamia fungua biashara chips mkuu iwe classic utarudisha hiyo pesa na kufungua multiples chips stalls soon na uta grow fastaaa

Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi nione ni muda gani haswa napaswa kuutumia kwani mimi ni mtumishi wa serikali.
 
Back
Top Bottom