Msaada: Bei za kodi ya Chumba na Frame. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Bei za kodi ya Chumba na Frame.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sharura, Jul 11, 2012.

 1. s

  sharura Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jamvi habari zenyu?

  Naomba msaada kwa anae fahamu kodi ya chumba pamoja na flemu ya duka kwa mkoa wa Mbeya ni Kiasi gani?
   
Loading...