idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Ulivyoongea hapa ni kama una uhakika ama ni mhusika moja kwa moja ...usipende kupotosha wenzako mzee.Tunduma anapata Samsung 260,000/- usafiri hadi DSM kwa Golden Deer ni 10k tu.
Hisence anapata kwa 300 kamili.
Vyote nilivyovitaja ni inch 32