Msaada bei ya TV flat screen aina yoyote bajeti 500,000

Tunduma anapata Samsung 260,000/- usafiri hadi DSM kwa Golden Deer ni 10k tu.
Hisence anapata kwa 300 kamili.
Vyote nilivyovitaja ni inch 32
Siku ukipata Samsung kwa bei iyo uliyoitaja hapo na nitakuongezea elfu 15,uni p-m
 
Habarini za usiku ndugu,

Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.

Naombeni msaada kwa mwenye kujua hizo info.

Asante
Unapata leta namba yko nikuunganishe
 
Hapo mjini Zenji ukienda na hio pesa unarudi na 50inch {Mtumba}.....

ila andaa pesa ya wenye mamlaka ya kukusanya mapato TRA
 
Ulivyoongea hapa ni kama una uhakika ama ni mhusika moja kwa moja ...usipende kupotosha wenzako mzee.
Kwa hiyo Pesa unapata TV aina ya "Skyworth" 43 Inches lkn siyo Smart. Ni mojawapo ya TV ninayomiliki hutojutia. Tatizo wabongo tunakalili sana vitu.
 
Habarini za usiku ndugu,

Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.

Naombeni msaada kwa mwenye kujua hizo info.

Asante
Kuna mdau yupo Zanzibar, Mimi nishanunua TV zaidi ya 5 (zikiwemo za kuwaangizishia washikaji) check nae sikumbuki user ID yake but Namba yake ya simu ni 0777 650286 na 0718 919 725. Itafaa ukirejesha feedback hapa kwa manufaa ya wengine
 
Habarini za usiku ndugu,

Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.

Naombeni msaada kwa mwenye kujua hizo info.

Asante
Kama bado hujapata nkuuzie yangu ni Brand ya SONY BRAVIA SMART pia slim kama counter la quare4 au6... ila ni inch40 kwa 550
 
Habarini za usiku ndugu,

Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.

Naombeni msaada kwa mwenye kujua hizo info.

Asante
kwa hiyo bei huwezi kupata TV ya samsung. Nakushauri uchukue Bruhm TV. Ila kwa hiyo bei utapata 32 inch na sio 43 inch.
 
Back
Top Bottom