Msaada: Bei ya pikipiki aina ya Boxer 150 au TVs 125

Nonchalant

JF-Expert Member
May 10, 2015
302
417
Kwa mwenye kufahamu bei ya pikipiki tajwa kwa Dar anisaidie, sipo Dar ila kama ni muuzaji na una reasonable price tutawasiliana na kusafirisha!
 
TVs ni 2m ila wiki mbili kabla kuna baadhi ya maeneo walijuza wanauza 1.9, boxer zinaenda 2.3 mpk 2.4
 
boxer bm 150, Katoro Geita na Kahama ni sh 2, 175,00 bila bima.

Mimi nilinunua mwanza kwa 2,350,000/=

2015/august. sijaweka spea hata moja zaidi ya tairi ya nyuma.

mafua inanusa, km 50+ kwa Lita.


kama una 1.9M ni pm nikupushie. sitapunguza hata senti.
 
Shukrani, kwa Dar wanasema bei nzuri boxer kwa 1.7 sipati?
Unapata lakini sio dukani...maduka mengi minimun ni 2.2mil hasa hasa pale Tazara kwa Bajaji wenyewe.
Kama una hiyo pesa unapata iliyotumika kama miezi 6-8 hivi, inakuwa vizuri tu.
Ila kuwa makini usije ukauziwa ya wizi tu maana zinaibiwa sana tena jamaa wakiiba wanaua kabisa, sa usawa huu ukipewa kesi ya mauaji kisa 2.2mil ni zaidi ya ujiga.
 
Bei ya boxer please kwa mwaka huu 2021 kwa tuliopo mkoani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom