Msaada bei ya nokia lumia yenye 4g

Msaada bei ya nokia lumia yenye 4g

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Anaejua bei ya hii simu naomba aniambie dukani ni bei gani mpya???
2eac64443de738c7d970d245adaba7e5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nimchukulie mdogo wangu wa kidato cha 2
 
Kaka hiyo ni around laki tano na nusu na si nokia lumia ni microsoft 640 xl hiyo ila kwa ushauri tu achana na window phone
 
ni ngumu kuzipata mpya kwa sasa sababu zimeachwa kutengenezwa siku nyingi.
 
Tatizo kubwa ni upungufu wa apps nyingi za kuchezea chezea kama kwenye android japo ni simu nzuri sana binafai mi sihami huku
 
Mkuu window ina mapungufu gani ya haraka???ukiringanisha na android???
kikubwa kabisa ni kwamba microsoft wenyewe hawasuport hizi simu, hivyo hakuna maana ya kununua.

kama unapenda simu za windows subiria surface phone au simu zitakazorun x86 apps.
 
Back
Top Bottom