Msaada bei ya display complete ya J7 NEO (SM-J701F/DS)

Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,944
1,488
Msaada wapi naweza pata Display complete ya J7 neo Model(SM-J701F/DS)
Na kwa bei gani wenye uzoefu na pia kama kuna mtu anafahamu na uzoefu wa kununua nje anaweza share pia soko zuri la kupata hii kitu.Ahsante

Cc Chief-Mkwawa Chief-Mkwawa msauziy msauziy karibuni ma wadau wengine.
 
Back
Top Bottom