Msaada: Battery ya dell, xps/m1530

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Wangwana, mwenyekujua duka amabalo naweza kupata battery hiyo anijulishe maana naihitaji sana wakuu.
 
Mkuu, sasa naipokeaje na wapi? Vipi kuhusu kulipia, sitaingia mkenge au inakuwaje? Umeshafanya nao kazi nami niwe nauhakika mkuu? Nisaidie ndg yangu.

Kazi/Transaction nimefanya nao sana mkuu na ni wakuaminika hapa duniani. Kwanza location yako ni wapi mkuu?
 
Kazi/Transaction nimefanya nao sana mkuu na ni wakuaminika hapa duniani. Kwanza location yako ni wapi mkuu?

Humo niliona kuna biashara pia kama wako serious, je, namna ya kutuma wanatumia DHL au wanatumia nini? Gharama zao zikoje?
 
With Paypal account u can purchase by ur own mkuu. Ebay na Amazon wana trust kubwa mkuu
 
I can help you get a paypal account if u r banking with CRDB

Nilikuwa na Account na CRDB ila nadhani tangu 2010 sijaupdate kwakuwa mwajiri alinilzimisha kuoitisha mshahara wangu NBC na kwahiyo nkaona si vyema kuendelea kuwana ACCOUNT nyingi kwa maana nina ata nyingine na Barclays. Ila kama Posta inawezekana basi, ni vyema unielekeze howa to go about kutuma na kupokea mzigo huo kwa maana nataka si tu betri bali na bidhaa nyinginezo.
 
Okey mkuu am not sure with barclays but nahisi wana hiyo huduma ya online mkuu check nao halafu watakusaidia
 
Wangwana, mwenyekujua duka amabalo naweza kupata battery hiyo anijulishe maana naihitaji sana wakuu.

Ukishindwa kabisa nenda haidery plaza posta pale ground floor kuna duka linaitwa Tembo Technologies mimi washaniagizia battery kama mbili na ni ndani ya wiki moja tu ila gharama yao inaweza kufika hadi laki na nusu. ila lazima uende na machine na battery waiangalie.
 
nakushukuru sana mkuu.
 
Ndugu usiumize kichwa hiyo issue yako ni ndogo sana
1.Unataka original au copy?

Nipe jibu, ukiwa tayari, tarehe 18 mwezi huu unapokea battery pale Airport Dar.
 
Tatizo sio kupata Battery... hizo batteryu zipo sana Bongo ila bei yake huwezi kupata less than laki na nusu
 
Back
Top Bottom