kama unataka kuwa comortable usiulize Basi. Panda fastjet otherwise nunua la kwako
Kamata Buffalo. Halicheki na kima barabarani
Mi sitaki basi linalotimua mbio. Nataka basi tulivu la starehe ambalo linajali usalama wa raia.

Thanx mkuu.. Ntatilia maananiNakushauri upande Fastjet kwani barabara toka Korogwe hadi Himo ina diversion na lami imechoka utafika umekoma
Mi sitaki basi linalotimua mbio. Nataka basi tulivu la starehe ambalo linajali usalama wa raia.
panda Ngorika ya kwanza, tunaiita kiberiti