Msaada: Basi luxury la Dar - Tabora

Wabongo bhana, Kwa Tanzania hakuna Luxury Bus hata moja, kuna semi Luxury tena Dar Express, Scandnavia ndo kampuni pekee iliyo kuwa na Luxury Bus tena hazizidi tano, tatizo tunazani basi likisha kuwa na siti za 2 x 2 basi hilo ni Luxury, hata costa zina sit za 2 x 2.

Kuna wale jamaa wa Chama cha kutetea Abilia wameisha wahi sana kuongea haya mambo ya Luxury na watafute wawape ufafanuzi na jinsi watu wanavyo pumbazwa na Yutong wakizani ni Luxury bus

Kuna kampuni moja ya Kenya inaitwa Modern Cost wanazo Luxury sijajua kama zinazo kuja Dar nazi ni Luxury ila ukienda Nairobi to Momabsa wanazo ukiingia ndani ndo utagundua kwamba huku Bongo watu wanaibiwa sana.


Hizi mtaziitaje?
 
Haya mabasi ni Luxury full na sit zake zinalala kabisa unaweza piga usingizi na sio za kibongo ukikupindua kidogo wa nyuma yako anapiga kelele
 
Haya mabasi ni Luxury full na sit zake zinalala kabisa unaweza piga usingizi na sio za kibongo ukikupindua kidogo wa nyuma yako anapiga kelele
We jamaa unatuonea sana watz wenzako kwa kutufananisha na wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…