Msaada wa haraka! Wapi nitapata roli kutoka Dar es Salaaam kwenda Tabora??

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Habari wakuu
Nina dhalura kesho nataka kwenda Tabora!
Napenda sana kusafiri na roli(cheap)

Naomba kujua wapi ntapata roli Tabora safari ni kesho!
Msaada please, 🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom