mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Direct kwenye mada. Nina ipad yangu nataka kuiuza baada ya kupata kitu kipya. Nawezaje kuiflash bila password maana nimeisahau, na kwa kuwa mara nyingi nilikuwa siitumii. Kwa wale wenye ipad wanaelewa inakuwaje. Msaada please wanajamvi