Kwa upande wao benki bado hawajakamilisha.nilikamilisha kila kitu
Fnb wako vizuri mkuuni bank gani nzuri kwa online transaction jaman isiyo na mlolongo mrefu.
hizi bank mpya sina amani nazo sababu hazipatikani kijijini. crdb ndo naipenda iko kila sehemu itajibidi niwazoee tuu japo kwa onlone transaction sijui ikojeFnb wako vizuri mkuu
Nadhani kikubwa cha kuzingatia ubora wa huduma,hizi bank mpya sina amani nazo sababu hazipatikani kijijini. crdb ndo naipenda iko kila sehemu itajibidi niwazoee tuu japo kwa onlone transaction sijui ikoje
nashukuru mkuu nimekuelewa, basi nami ntafungua hizo mpya. nimejifunza kitu za zaman kuna tatizo. hasa kurudishiwa hela inasumbua ila sina uhakika na haya mambo nacheki reviews za watu.Nadhani kikubwa cha kuzingatia ubora wa huduma,
Customer care pindi upatapo shida bila kuhitajika kwenda kwenye tawi husika la benki.
Kwa kuzingatia hivyo vigezo viwili benki mpya naona zinafanya vizuri.
Wengi wetu tulianza na benki ya zamani, kabla ya kusonga mbele na kuhamia hizi benki mpya
Crdb ni benki ya kijinga sana kwenye issue ya online transactions. .usiombe ukakumbwa na tatizo kwamba umefanya online transaction ikagoma au kufanya hiyo balancing ili wakuruhusu uendelee na matumizi mengine ni shida... pia unaweza kutuma pesa kutoka m-pesa ikawafikia baada ya siku mbili na hapo unakuwa umeshawapigia sana simu hao customer kero wao...kingine usirogwe ukafanya muamala siku za weekend au usiku utajuta... bank ABC so far iko vizuri au UBA bank... ila ukitaka stress go with CRDB.hizi bank mpya sina amani nazo sababu hazipatikani kijijini. crdb ndo naipenda iko kila sehemu itajibidi niwazoee tuu japo kwa onlone transaction sijui ikoje
Crdb ni benki ya kijinga sana kwenye issue ya online transactions. .usiombe ukakumbwa na tatizo kwamba umefanya online transaction ikagoma au kufanya hiyo balancing ili wakuruhusu uendelee na matumizi mengine ni shida... pia unaweza kutuma pesa kutoka m-pesa ikawafikia baada ya siku mbili na hapo unakuwa umeshawapigia sana simu hao customer kero wao...kingine usirogwe ukafanya muamala siku za weekend au usiku utajuta... bank ABC so far iko vizuri au UBA bank... ila ukitaka stress go with CRDB.
wapigie paypal watakusaidia...ilishawaikunitokea kitambo au lah subiri mwaka upite ili account iwe inactive waifungeNimepata tatizo katika ku link BancABC USD VISA Card na email yangu.
Nakumbuka awali nilishai link lakini nikasahau email account yangu na nimejaribu kui restore email bila mafanikio na hivyo nikaamua kufungua email account nyingine ambapo nilipojaribu kui link tena imeni alert kuwa siwezi ku add visa card ambayo tayari imekuwa added.
Kuna anayeweza kunipa ushauri nini cha kufanya!