wakuu naomba mnisaidie hii koZi ya IT ukishamaliza mafunzo unaweza ukaajriwa ktk sekta zip?
na sifa za kujiunga kwa ngaz ya chet ikiwezekana ntajie na vyuo vinavyotoa hii kozi..
Unaweza jiajiri mwenyewe, vilevile unaweza kuajiriwa kama programmar, it manager nk. Vyio kama chuo cha uhasibu arusha, kampala university, jr insitut arusha wanatoa certifct, vigezo kwa mwaka huu sijui ila miaka ya nyuma ilikulazimu uwe na pass 4, yaani D nne na kati ya hzo d, isikosekane ya hesabu au english lazima kati ya moja iwepo au zote.
Kila coz hakuna ajira, we soma ukimaliza jiajiri mwenyew... ukisubir kuajiriwa utazeeka bureee mtaani
Utaajiriwa popote wanapotumia compyuta na mawasiliano ya kielektroniki. Jaribu kufanya kitu ambacho unapenda na una uwezo nacho na pia unahisi kwamba unaweza kuonyesha utofauti na walio wengi. Usisome tu kisa kozi flani inalipa. Hata unesi na udaktari unalipa vile vile ila je unaweza kumhudumia mgonjwa wa ebola hata ukipewa mask?