Sasa leo nimekuja kukupa jibu sahihi, nenda kasome udaktari.. Mimi nmesoma computer science & engineering, na hata nikirudishwa utotoni nikasoma upya bado ntachagua kitu hiki hiki.. Ila kwa nini nimekwambia nenda udaktari, watanzania wengi ni wavivu, hasa wavivu wa kujisomea, computer science si kazi sana kupata kazi kama watu wanavofikiri, ukiwa bongo you are better off kujiajiri kuliko kuajiriwa, ukikosa ofisi unaweza fanya kazi hata online from home kama ni mvivu, na bongo ndo sehemu sasa hivi ukifungua tech startup una probability kubwa ya kuikuza bila mtaji mkubwa na ikakua kwa speed kwa sababu bado vitu vingi bongo havijafanywa na sio kwamba audience hamna, inahitaji push kidogo tu, na people make money, am talking of real money...
Ila sasa ili uwe fit kwenye CS ni mziki mwingine, theres a lot of stuffs to learn ambavyo ni complex, kwanza lazima uwe fit hisabati, algebra, calculus na discrete mathematics, zinatumika sana, kuna kitu wanaitwa datastructures kama utasoma utakutana nacho, algorithms, Hizi ndo part tatu kubwa naona watanzania wengi hawatumii, people just program wana-brute force kila kitu wakati kuna better algorithms za kufanya kitu flani. Unafungua site ya mtu iko very slow hadi unajiuliza kama kaihost kwenye raspberry pi yake kwenye slow connection.
Inabidi uwe mtu curious, unaweza omba internships hata quora, facebook, google na ukapata ila at least kufikia mwaka wako wa junior uwe umeonyesha kitu fulani ambacho ushawahi fanya, projects kwenye github au hata ur own portfolio, they need to see the code you write, wajue unatumiaje maarifa unayopewa darasani na unayotafuta mwenyewe kusolve matatizo.
Bado itabidi uweke angalau languages tatu kichwani, projects ni more important lakini lazima uwe na tools pembeni. Sasa wabongo kila mtu PHP, MYSQL, Javascript, wameishia hapo... wachache wanajua basics of C.. Mtu anaandika program yake anaweka ka encryption ka ovyo kanachukua ASCII key kanaongeza moja au mbili au kanarudisha jibu, hajui kama unaweza chukua executable file ukacheki assembly code yake uka-reverse engineer ukapata exactly alichofanya... Wabongo CS major wengi hawajisomei vitu basic sana hivi vinawasumbua na hivi usitegemee professor atakupa you have to browse the internet n read books.
Sasa usipoweza yote haya, utaishia kutengeneza blog peke yake coz kazi hutopata, na kujiajiri bado itakua mziki maana theres competition out there ambayo hutoiweza, lakini udoctor utagraduate still utalipwa tu, pamoja na kua utaishia kumfanyia mtu kazi unless ujiajiri uwe na sehemu yako ya kufanyia kazi... Still the doctor path ni nyepesi sababu watu wataugua tu watake wasitake, na wakiugua lazima wawatafute,