Msaada: Bachelor degree of science in computer science software engineering kutoka RUCO/RUCU

Chuo ni kizur na suala la ajir sio tata xana..ila Nina uhakik kozi iyo itakusaidia hata kujiajir lyk kuanzisha blog na ukalipwa na makampun ..ni ivo kW mtazmo wng
 
Habari wa wakati huu wakuu. samahanini naomben ushauri nimetoka jukwaa la elimu nikaja huku kwa sababu mambo ya teknolojia yanahusu sana.
mimi nimechaguliwa hiyo course kwa level ya bachelor degree chuo cha rucu/ruco iringa. napenda sana mambo ya computer japo wazaz wanagomba na mimi nikasome MEDICAL DOCTOR na mimi sijafanya vizur kwan inaushindani sana hata vyuo vya private ni ngumu mno. bas wanataka nikasome diploma ya clinical officer tuu. mimi naona ngumu mno pia uri unaenda na uwezo wetu ni kidogo. kuna wadogo zangu wanakuja huko nyuma nawaonea huruma wasiteseke coz mimi nilikua huko na ni wa kike.
najua pesa zipo na mungu ndie anatoa nili apply na kupata hii coz. kinacho niumiza akili ni swala la ajira.
jaman wakubwa zangu na ndugu zangu wengne naomba mniambie ukweli kuhusu hii koz kabla cjafanya maamuzi makuu. pia udom wanatoa hiyo bachelor degree ya software engineering.
najua hapa wapo wengi wa taalamu wa masuala haya na ajira, natumaini mtanifumbua akili nijue la kufanya.
natanguliza shukrani[/QUOTES

Sellable sciences (Degrees)

Medical
Electrical
Computer science/I.T
Mechanical

hayo mengine unajisumbua Software Engeenering? bongo? Utakuwa kama wenzio wanaodanganywa kwenda kusoma Petroleum Engineering wako kitaa tuu wanazunguka.
 
Hehehe computer science akaanzishe blog? duh mkuu usishiriki kutoa ushauri tena kwa maswala haya....
 
Kwa nini mnaipinga software engineering? jamiiforums yenyewe tu mfano mkubwa ya kwa nini tunahitaji computer engineers wengi bongo, au unadhani hawa jamaa wanalala njaa?
Bongo industry inakua sa hivi, watu wanaanza kufanya vitu kama online selling n buying ya products within the country, na with time tukishafix swala la vitu kama addresses hata deliveries na vitu kama misoc etc itakua ni rahisi sana tu. So still kuna opportunities kibao ya vitu ambavyo havijawa introduced bongo... Field yoyote ile for as long as you are good at it itakulipa vizuri tu.
 
kwa ufupi tu achana na yoote nenda pambana na Medicine kwa gharama yeyote hata kama utasoma miaka 6 kufa na kupona bado ni bora :
1. Uhakika wa Ajira
2.Ni rahisi Doctor/medical Officer kurudi chuo na kusoma Computer science lakini Reverse yake NGUMU SANA
3. Kwa jamii hii ya dunia ya tatu HADHI YA DOCTOR VS ENGINEER ni kubwa kuliko.
4.Bado inawezekana kujiajiri mitaani
 
Kama unataka ajira(sio lazima yenye remuneration kubwa) hata kabla ya kumaliza chuo kasome civil engineering. Lakini kati ya kuchagua MD, CS na SE, bora uchague CS kwani ni miaka 3, SE ni miaka 4 na MD inaweza kufikia mpaka 7. Ukimaliza CS ya miaka 3 unaweza kuanza kupata kipato cha kuwasaidia ndugu zako mapema.
 
Habari wa wakati huu wakuu. samahanini naomben ushauri nimetoka jukwaa la elimu nikaja huku kwa sababu mambo ya teknolojia yanahusu sana.
mimi nimechaguliwa hiyo course kwa level ya bachelor degree chuo cha rucu/ruco iringa. napenda sana mambo ya computer japo wazaz wanagomba na mimi nikasome MEDICAL DOCTOR na mimi sijafanya vizur kwan inaushindani sana hata vyuo vya private ni ngumu mno. bas wanataka nikasome diploma ya clinical officer tuu. mimi naona ngumu mno pia uri unaenda na uwezo wetu ni kidogo. kuna wadogo zangu wanakuja huko nyuma nawaonea huruma wasiteseke coz mimi nilikua huko na ni wa kike.
najua pesa zipo na mungu ndie anatoa nili apply na kupata hii coz. kinacho niumiza akili ni swala la ajira.
jaman wakubwa zangu na ndugu zangu wengne naomba mniambie ukweli kuhusu hii koz kabla cjafanya maamuzi makuu. pia udom wanatoa hiyo bachelor degree ya software engineering.
najua hapa wapo wengi wa taalamu wa masuala haya na ajira, natumaini mtanifumbua akili nijue la kufanya.
natanguliza shukrani[/QUOTES

Sellable sciences (Degrees)

Medical
Electrical
Computer science/I.T
Mechanical

hayo mengine unajisumbua Software Engeenering? bongo? Utakuwa kama wenzio wanaodanganywa kwenda kusoma Petroleum Engineering wako kitaa tuu wanazunguka.
nimekupata mkuu lakn kuna ndugu wawili wameniambia wamesoma hiyo koz na sasa wana mshaara wao mzuri tuu. pia uwezo wangu wa kusoma medicine ni mdogo mf mkopo nikikosa? pia cbg niliyosoma naona chenga. bora hii coz najua nkitoka hapo naweza ata fundisha somo la computer shulen, naweza ajiriwa pia naweza fungua kibanda changu ni deal na software maintainance au unanishauri nn mkuu. pia ada hapo ruco ni bei chee na mkopo juu sasa nitake nn tena kama sio kumshukuru mungu na kuomba mafanikio zaidi. pia mambo ya udaktari hayapo moyon ntaweza ua wagonjwa eti. mm ni mtu wa bata kiaina cpend usumbufu sana japo nafanya kazi mno hadi nyumban bibi na wengne wananiambia pumzika. napenda kufanya kitu kilichopo moyon nsije kuua wagonjwa. pia kwa stress nlizonazo nahis naweza disco medicine haki ya mungu na pesa nyumban hamna kwa sabab mama na madogo wanasoma shule za private na cjui maza ata pata wap hela na mshua alishadanja toka 2003 na maza ni nurse levo ya diploma. ndugu wengne hali ngumu nao wanaangaika na kinua familia zao
 
Habari wa wakati huu wakuu. samahanini naomben ushauri nimetoka jukwaa la elimu nikaja huku kwa sababu mambo ya teknolojia yanahusu sana.
mimi nimechaguliwa hiyo course kwa level ya bachelor degree chuo cha rucu/ruco iringa. napenda sana mambo ya computer japo wazaz wanagomba na mimi nikasome MEDICAL DOCTOR na mimi sijafanya vizur kwan inaushindani sana hata vyuo vya private ni ngumu mno. bas wanataka nikasome diploma ya clinical officer tuu. mimi naona ngumu mno pia uri unaenda na uwezo wetu ni kidogo. kuna wadogo zangu wanakuja huko nyuma nawaonea huruma wasiteseke coz mimi nilikua huko na ni wa kike.
najua pesa zipo na mungu ndie anatoa nili apply na kupata hii coz. kinacho niumiza akili ni swala la ajira.
jaman wakubwa zangu na ndugu zangu wengne naomba mniambie ukweli kuhusu hii koz kabla cjafanya maamuzi makuu. pia udom wanatoa hiyo bachelor degree ya software engineering.
najua hapa wapo wengi wa taalamu wa masuala haya na ajira, natumaini mtanifumbua akili nijue la kufanya.
natanguliza shukrani[/QUOTES

Sellable sciences (Degrees)

Medical
Electrical
Computer science/I.T
Mechanical

hayo mengine unajisumbua Software Engeenering? bongo? Utakuwa kama wenzio wanaodanganywa kwenda kusoma Petroleum Engineering wako kitaa tuu wanazunguka.
nimekupata mkuu lakn kuna ndugu wawili wameniambia wamesoma hiyo koz na sasa wana mshaara wao mzuri tuu. pia uwezo wangu wa kusoma medicine ni mdogo mf mkopo nikikosa? pia cbg niliyosoma naona chenga. bora hii coz najua nkitoka hapo naweza ata fundisha somo la computer shulen, naweza ajiriwa pia naweza fungua kibanda changu ni deal na software maintainance au unanishauri nn mkuu. pia ada hapo ruco ni bei chee na mkopo juu sasa nitake nn tena kama sio kumshukuru mungu na kuomba mafanikio zaidi. pia mambo ya udaktari hayapo moyon ntaweza ua wagonjwa eti. mm ni mtu wa bata kiaina cpend usumbufu sana japo nafanya kazi mno hadi nyumban bibi na wengne wananiambia pumzika. napenda kufanya kitu kilichopo moyon nsije kuua wagonjwa. pia kwa stress nlizonazo nahis naweza disco medicine haki ya mungu na pesa nyumban hamna kwa sabab mama na madogo wanasoma shule za private na cjui maza ata pata wap hela na mshua alishadanja toka 2003 na maza ni nurse levo ya diploma. ndugu wengne hali ngumu nao wanaangaika na kinua familia zao
 
kwa ufupi tu achana na yoote nenda pambana na Medicine kwa gharama yeyote hata kama utasoma miaka 6 kufa na kupona bado ni bora :
1. Uhakika wa Ajira
2.Ni rahisi Doctor/medical Officer kurudi chuo na kusoma Computer science lakini Reverse yake NGUMU SANA
3. Kwa jamii hii ya dunia ya tatu HADHI YA DOCTOR VS ENGINEER ni kubwa kuliko.
4.Bado inawezekana kujiajiri mitaani

pesa mkuu shida sana tuko weng tunaosoma
 
Hehehe computer science akaanzishe blog? duh mkuu usishiriki kutoa ushauri tena kwa maswala haya....

vp mkuu hzo mbishe za bloggn hazlip? vp nkiwa tcha au nkianzsha kibanda chang na kuanza ku deal na mambo ya computer software maintainance na hata cm ctavuna noti kwel? maana naona wadau huku mujini wanavuta mpunga mdogo mdogo tu kwa kuflash cm na mambo ya windozzz na hata hawakai dk washaingza buku 10 15 kwa kuflash cm tuu? kwa kwel me naona maisha ujanja ama nn
 
Hayo yote unayosema sio mambo ya mtu wa computer science kufanya, hayo ni mambo mtu yeyote yule anafanya wa kawaida tu.. Computer science iko deep zaidi ya hicho unachofanya hapo, kuanzia utengenezaji wa software za computer unazotumia hadi kurusha rocket inayoenda mars, ipo hadi kwenye kilimo modern, kutengeneza almost kila kitu..
 
Kwa vile unaonekana hauna any real interet kwenye fani zote mbili hizi nakushauri some comp engineering, ni muda mfupi zaidi na mishahara ni mizuri zaidi at least kwenye starting level pia ni rahisi kujiajiri, pia unaweza kwenda almost nchi yoyote kwa vile progtamming/IT haina licensing requirements ni uwezo wako tu, na Java ya bongo ndo Java ya US so inatranslate directly.

Pia ukishapa degree ya kwanza kwenye comp engineering sky is the limit kusoma masters au phd ni kama unajitakia mwenyewe au unataka kuwa proffessor lakini hakuna kazi ya IT/Programming utakajoikosa kwa vile hauna masters/phd.

Udaktari kwa vile unakuwa mikononi mwa serikali ni shida sana, mishahara hasa gov ni midogo na mazingira kwenye hospitali zetu ni magumu sana.

Cha muhimu hakikisha utakapo maliza hiyo degree unajua jinsi ya kuprogram na una projects ambazo unaweza kuwaonyesha watu iwe ni web/mobile/desktop etc. Wengi wanamaliza hawawezi kuprogram in any real sense.
 
Hayo yote unayosema sio mambo ya mtu wa computer science kufanya, hayo ni mambo mtu yeyote yule anafanya wa kawaida tu.. Computer science iko deep zaidi ya hicho unachofanya hapo, kuanzia utengenezaji wa software za computer unazotumia hadi kurusha rocket inayoenda mars, ipo hadi kwenye kilimo modern, kutengeneza almost kila kitu..
mmmmh samahan naomba no yako pm natumain utanisaidia zaid kabla cjaaanza safar rasmi Dreson4
haki ya mungu uclolijua ni ucku wa giza sasa ctak tena vtu vya kub ashiri na kuhisi hisi tu i need deep knowledge before arriving into final conclussion
 
Nimegundua huyu Dogo ameshadahiliwa tayari RUCO so hakuna Ushauri utakaomsaidia na hatuwezi kugeuza admission yako kasome tu ulichochaguliwa lakini kuna kosa tuu hapo CBG huwezi kusoma Medicine na kama ukifanikiwa uzoefu unaonesha hakuna mtu anayejisomesha mwenyewe kwenye Medicine. Labda ukasome KIU ila Muhimbili, Bugando, KCMC au Habart Kairuki hautasoma na CBG. Waeleshe wazazi kuwa hicho kitu ulichosomea labda udaktari wa wanyama.
 
thanx mkuu kwa ushauri ila ishu ya combi nayo ni shida kwa ufaulu wa sasa ivi pcb. ila kuna rafk yangu alinambia alikua na rafk yake yuko md bugando if mistaken bila cna uhakika nachojua mm cbg ukipata gpa ya maana vyuo vya private unapata mf kule archbishop james ajuco, ila ukitoa hiyo MD nauhakika medical labaratory unapata vizur vyuo ya private kama imtu.
ila co government.......
 
b ya veterinary medicine nliiona tuu sua na mle hamna mchezo ni pcb kwa kwenda mbele na msuli wa maana. na mshkaji wangu kule
 
nimekupata mkuu lakin unaposema mshaara wa udaktari mdogo nakuwa kama sikuelewi ivi? kwa wanaoanza degree level wanalamba more than 1.5m na ushee. ila najua ualimu nitapga pia najipanga kusaka ajira makampuni ya simu najua yanalipa vizur au unaonaje hapo mkuu
hiyo figure isikudanganye, kama mtu analipwa 1.5m kuna makato mengi yapo; 10% hifadhi ya jamii, karibia 18% kodi ya serikali, 3% mfuko wa taifa wa bima ya afya, 8% bodi ya mikopo ya elimu ya juu, kuna makato ya chama cha wafanyakazi, makato ya mambo ya kijamii kulingana na mahali husika mfano mfuko wa mazishi. kwa hiyo kwenye 1.5m karibia 600k 'inapotea' take home inakuwa 900k. Ukichukulia kodi ya nyumba 300k, chakula/nauli/utilities/mavazi/mizinga 500k na kazi yenyewe(udaktari) unatumika ipasavyo huna muda wa kufanya mambo yako binafsi, ni bora ukomae na CS.
 
Sasa leo nimekuja kukupa jibu sahihi, nenda kasome udaktari.. Mimi nmesoma computer science & engineering, na hata nikirudishwa utotoni nikasoma upya bado ntachagua kitu hiki hiki.. Ila kwa nini nimekwambia nenda udaktari, watanzania wengi ni wavivu, hasa wavivu wa kujisomea, computer science si kazi sana kupata kazi kama watu wanavofikiri, ukiwa bongo you are better off kujiajiri kuliko kuajiriwa, ukikosa ofisi unaweza fanya kazi hata online from home kama ni mvivu, na bongo ndo sehemu sasa hivi ukifungua tech startup una probability kubwa ya kuikuza bila mtaji mkubwa na ikakua kwa speed kwa sababu bado vitu vingi bongo havijafanywa na sio kwamba audience hamna, inahitaji push kidogo tu, na people make money, am talking of real money...

Ila sasa ili uwe fit kwenye CS ni mziki mwingine, theres a lot of stuffs to learn ambavyo ni complex, kwanza lazima uwe fit hisabati, algebra, calculus na discrete mathematics, zinatumika sana, kuna kitu wanaitwa datastructures kama utasoma utakutana nacho, algorithms, Hizi ndo part tatu kubwa naona watanzania wengi hawatumii, people just program wana-brute force kila kitu wakati kuna better algorithms za kufanya kitu flani. Unafungua site ya mtu iko very slow hadi unajiuliza kama kaihost kwenye raspberry pi yake kwenye slow connection.

Inabidi uwe mtu curious, unaweza omba internships hata quora, facebook, google na ukapata ila at least kufikia mwaka wako wa junior uwe umeonyesha kitu fulani ambacho ushawahi fanya, projects kwenye github au hata ur own portfolio, they need to see the code you write, wajue unatumiaje maarifa unayopewa darasani na unayotafuta mwenyewe kusolve matatizo.

Bado itabidi uweke angalau languages tatu kichwani, projects ni more important lakini lazima uwe na tools pembeni. Sasa wabongo kila mtu PHP, MYSQL, Javascript, wameishia hapo... wachache wanajua basics of C.. Mtu anaandika program yake anaweka ka encryption ka ovyo kanachukua ASCII key kanaongeza moja au mbili au kanarudisha jibu, hajui kama unaweza chukua executable file ukacheki assembly code yake uka-reverse engineer ukapata exactly alichofanya... Wabongo CS major wengi hawajisomei vitu basic sana hivi vinawasumbua na hivi usitegemee professor atakupa you have to browse the internet n read books.

Sasa usipoweza yote haya, utaishia kutengeneza blog peke yake coz kazi hutopata, na kujiajiri bado itakua mziki maana theres competition out there ambayo hutoiweza, lakini udoctor utagraduate still utalipwa tu, pamoja na kua utaishia kumfanyia mtu kazi unless ujiajiri uwe na sehemu yako ya kufanyia kazi... Still the doctor path ni nyepesi sababu watu wataugua tu watake wasitake, na wakiugua lazima wawatafute,
 
hiyo figure isikudanganye, kama mtu analipwa 1.5m kuna makato mengi yapo; 10% hifadhi ya jamii, karibia 18% kodi ya serikali, 3% mfuko wa taifa wa bima ya afya, 8% bodi ya mikopo ya elimu ya juu, kuna makato ya chama cha wafanyakazi, makato ya mambo ya kijamii kulingana na mahali husika mfano mfuko wa mazishi. kwa hiyo kwenye 1.5m karibia 600k 'inapotea' take home inakuwa 900k. Ukichukulia kodi ya nyumba 300k, chakula/nauli/utilities/mavazi/mizinga 500k na kazi yenyewe(udaktari) unatumika ipasavyo huna muda wa kufanya mambo yako binafsi, ni bora ukomae na CS.
nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako mkubwa. but ivi huwez kukataa michango mingine uko i mean ujitoe kabisa mf mm na bima ya afya nhif. kuna bimkubwa wangu kanikatia. sema sijajua vizuri makato yanavyokua private institution naona kama kuajiriwa government ni michisho tuu na kuumizana tuu. mf kwa cs lets say wanaanza na 700k wakiminya makato yote take home itakuaje??? now ishu ninayoiwazia ni kulipa mkopo tuu, kukatwa kodi ya serikali vingine havinuhusu. au kama vipi nakua nachukua mkwanja wangu on hand. viduburasha vingine wamalizane serikalini uko. sema naizimia ajira ya serikalini because una uko more safe. only that na unaruhusiwa kuongeza elimu while umeajiriwa tofauti na makampuni ya binafsi ile tuu ukiumwa sikumbili tatu hujawasili ofisini kwa heri.
but naamini kuishi vizuri na watu ni jambo jema zaidi.
 
Back
Top Bottom