Msaada baada ya mimba kutoka

Mi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao

Unless kama jamaa alimtoa bikra!
Naona.jamaa angempa tu simu
Mama apitie comment kisha atoe maamuzi.
What kind of woman is she!
Hajali afya yake!
Anaogopa kuonana na Dr
Hajawahi kuzaa ama hatawahi?
Huyu ni mwanaume wake wa kwanza na wa mwisho!
 
Naona.jamaa angempa tu simu
Mama apitie comment kisha atoe maamuzi.
What kind of woman is she!
Hajali afya yake!
Anaogopa kuonana na Dr
Hajawahi kuzaa ama hatawahi?
Huyu ni mwanaume wake wa kwanza na wa mwisho!
Mi nakwambia anajishaua huyo demu...muache asisafishwe aone!
 
Anaogopa bure tu. ilimtokea wife tukaenda Burhan (Dar) wakamchoma sindano ya usingizi kwanza kabla ya kumsafisha. nendeni hospitali zenye theater ambazo wanafanya na operations (huku wana wataalam wa usingizi). msiende zahanati za ushchochoroni ambaz hawafanyi upasuaji huko hawana dawa ya usingizi wala wataalamu wa usingizi
 

Mkuu upo, habari ya uzima
 
Hata Wangu aligomaga hiyo Mkuu Mwanamke yeyote ukimtoa Bikra anaitunza tupu yake labda apitiwe na wengi
Mi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao

Unless kama jamaa alimtoa bikra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…