Msaada Automobiles engneering.

Msaada Automobiles engneering.

kingi mweuc

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
266
Reaction score
73
Habar wana jf..naombeni mnijuze kuhusu hiyo course automobiles..je inadeal na nini na nini na je vp upatkanaj wa ajira mwenye kujua anijuze asanteni
 
Inahusiana na uhandisi wa magari.
Kuanzia ku'design mpaka ku'repair..
Unaweza ajiriwa kwenye makampuni ya magari km Toyota au hata kwenye yard za magari.
Lakini pia unaweza kujiajiri
 
Automobile engineering ni uhandisi wa vyombo vya usafiri. kuanzia pikipiki,magari,ndege,treni,meli na vingine kama hivyo. hawa wataalamu wanajihusisha na mifumo ya utendaji kazi wa hivyo vyombo. kuanzia muundo wa injini ya vyombo hivi, mwonekano na kazi ya chombo husika. kutokana level ya maendeleo nchini kwetu na mahitaji makubwa ya kifedha kwaajili ya kuwekeza katika viwanda vya vyombo hivi katika nchi nyingi. wataalamu wengi wamebobea katika magari hili limechangiwa pia na mahitaji na uwezo wa watu kumiliki magari kuwa mkubwa kuliko vyombo vingine ambavyo ni serikali au matajiri au makampuni makubwa huwekeza kuliko watu binafsi eg ndege,treni,meli. je ina fursa ya ajira? ndio tena kubwa tu. mfano kampuni za uzalishaji wa hivi vyombo zinaweza kukuajiri hii ni international maake sisi hatuna hivyo viwanda. ukija local kama unataka uajiriwe hapa hapa nchini pia fursa ni pana. mfano serikalini kuna vitengo maalumu vinavyojishughulisha na magari ya serikali mfano TEMESA
 
Automobile ni somo la kuhusiana na ufundi wa vyombo vyote vya moto
 
pia mashirika ya uma yanaweza kukuajiri. utaajiriwa na mashirika ya ndege kwaajili ya matengenezo ya ndege,mashirika ya treni na meli pia hapo ni upande wa kujiajiriwa. katika kujiajiri napo wigo ni mpana tu. unaweza fungua garage ya kisasa kabisa in our country people got money and they look for trusted and best quality service. neno garage bubu tutasahau. tunaenda katika dunia ambayo unapiga simu ukiwa ofisini fundi anatoka katika garage iliyosajiliwa na brela na inalipa kodi tra kazi inafanywa in a very proffessional way at a reasonable cost,time and quality of service. so ukiwa na akili maisha yapo ni wewe. statistics za bandari ya dar zinaonyesha zaidi ya gari 50000 ziliingia nchini mwaka jana. hizo gari zinahitaji huduma kila baada ya muda fulani. while una garage unaweza pia kua consultant kwa watu binafsi,mashirika ya umma na binafsi katika mambo yote yanayohusiana na vyombo vya usafiri katika taasisi husika
 
Inahusiana na uhandisi wa magari.
Kuanzia ku'design mpaka ku'repair..
Unaweza ajiriwa kwenye makampuni ya magari km Toyota au hata kwenye yard za magari.
Lakini pia unaweza kujiajiri

asante xana mkuu
 
Automobile engineering ni uhandisi wa vyombo vya usafiri. kuanzia pikipiki,magari,ndege,treni,meli na vingine kama hivyo. hawa wataalamu wanajihusisha na mifumo ya utendaji kazi wa hivyo vyombo. kuanzia muundo wa injini ya vyombo hivi, mwonekano na kazi ya chombo husika. kutokana level ya maendeleo nchini kwetu na mahitaji makubwa ya kifedha kwaajili ya kuwekeza katika viwanda vya vyombo hivi katika nchi nyingi. wataalamu wengi wamebobea katika magari hili limechangiwa pia na mahitaji na uwezo wa watu kumiliki magari kuwa mkubwa kuliko vyombo vingine ambavyo ni serikali au matajiri au makampuni makubwa huwekeza kuliko watu binafsi eg ndege,treni,meli. je ina fursa ya ajira? ndio tena kubwa tu. mfano kampuni za uzalishaji wa hivi vyombo zinaweza kukuajiri hii ni international maake sisi hatuna hivyo viwanda. ukija local kama unataka uajiriwe hapa hapa nchini pia fursa ni pana. mfano serikalini kuna vitengo maalumu vinavyojishughulisha na magari ya serikali mfano TEMESA

nashkuru xana kwa kunijuza asante
 
pia mashirika ya uma yanaweza kukuajiri. utaajiriwa na mashirika ya ndege kwaajili ya matengenezo ya ndege,mashirika ya treni na meli pia hapo ni upande wa kujiajiriwa. katika kujiajiri napo wigo ni mpana tu. unaweza fungua garage ya kisasa kabisa in our country people got money and they look for trusted and best quality service. neno garage bubu tutasahau. tunaenda katika dunia ambayo unapiga simu ukiwa ofisini fundi anatoka katika garage iliyosajiliwa na brela na inalipa kodi tra kazi inafanywa in a very proffessional way at a reasonable cost,time and quality of service. so ukiwa na akili maisha yapo ni wewe. statistics za bandari ya dar zinaonyesha zaidi ya gari 50000 ziliingia nchini mwaka jana. hizo gari zinahitaji huduma kila baada ya muda fulani. while una garage unaweza pia kua consultant kwa watu binafsi,mashirika ya umma na binafsi katika mambo yote yanayohusiana na vyombo vya usafiri katika taasisi husika

nashukuru kwa maelezo asante xana
 
io course inachukua miaka mingap na pia kwenye hupataj wa mikopo ni inakipaumbele ??
 
Back
Top Bottom