Hujatafuta vizuri kwenye website ya Dell huwa hawajawahi kukosa driver ya computer zao.
Vostro series ya 3000 ziko nyingi. Kujua model halisi fungua run, type DXDIAG press enter , hapo utaona model ya pc yako.
Angalia model ya computer yako ni VOSTRO model gani halafu ingia hapa.