Msaada: ATM card namba ni ipi?

tetestaly

Senior Member
Sep 10, 2015
126
59
Naomba kujua namba yng ya ATM card kadi yng ni CRDB bank ziko namba mbili zinanichanganya wadau msaada plz
 
Hyo ya chini ni acc number na za juu hzo ndo card number
 
Hyo ya chini mi acc number na za juu hzo ndo card number
Dah! kiukweli sikumuelewa kabisa mwanzisha thread kama ilimaanisha hilo!
Lakini nauhakika haya yote alitakiwa amuulize RM wake kule bank.
 
namba ya account zipo tarakimu 16 ambazo ni namba kubwa zipo namba 4 katika mafungu 4
 
Naomba kujua namba yng ya ATM card kadi yng ni CRDB bank ziko namba mbili zinanichanganya wadau msaada plz
Mkuu card namba yako ni hizo tarakimu kubwa za juu

Account namba yako ni tarakimu ndogo za chini zipo 13
 
Back
Top Bottom