Msaada: Asili yangu inanishangaza

Msaada: Asili yangu inanishangaza

1. Cheki mpira vibanda umiza au nenda Taifa.
2. Nenda Bar au pool table
 
Hapo Mungu akuongoze tu.

Kua makini katika hayo unasoma ukakutana na articles zitakazokudanganya kua you're a female trapped in a man body na ndio maana unapenda kukaa mwenyewe.

Other than that jitahidi kuinteract na watu haya maisha ya kujitenga ni mzigo sana hasa ukifikia in your 30's wale marafiki uliokua nao watakua na familia na majukumu tayari. Hivyo watawatafuta wale tu wenye ukaribu nao ila wewe wakujitenga utabaki na upweke tu.

Learn to Interact Bro!
 
Nina miaka 25 Jamani Mimi huwa nashangazwa na baadhi ya tabia zangu mfano napenda kujitenga mwenyewe kimya, au nasikiliza mziki Kwa sauti ya Chini mno,nnaposema napenda kujitenga ni pamoja na kuchukia kampani ya mtu yoyote Yule Yani Mimi nusu saa huku namsikiliza mtu au watu wakiongea kwangu ni kero sana..nikiwa mwenyewe kimya mara nyingi najisomea vitabu nakuwa na furaha pia nahisi Sura yangu ikiondoa mikunjo, ila nikiwa na rafiki yangu yoyote nakuwa nahisi kabisa kuwa anagundua namna nnavyoboeka..napenda mahusiano ila nikikaa na girl Tu mara ya Kwanza ya pili zile exaggerations zao zinaniboa au wakija getto redio sauti ya juu na ni relationships nyingi nimevunja mwenyewe Kwa kuomba kuachana ambapo wengi wakiuliza tatizo nini niliwajibu haikupangwa tuwe pamoja na ila uwa wananiachia kibwagizo kuwa siko sawa,sio muongeaji kabisa kazini ambako ndo mahali pangu pagumu mno kuishi uwa nachukuliwa mtu makini, mstaarabu uwa wanadhani ni mtu nnaewasikiliza Sana ila mara nyingi uwa sijui huwa wanazungumzaga nini maana ni kama nakuwa katika ulimwengu wangu ila wao wanapiga kelele kuni disturb Girl ukiona nimekuapproach ujue hakika wewe ni mrembo maana mpaka kufikia umri huu nimewahi kutongoza kama mara mbili Tu ila wengi uwa wanajiweka kwenye reli kama kuniactivate

Jamani naomba msaada Nina mambo mengi naweza kukaa ndani kuanzia ijumaa jioni Hadi jumatatu asubuhi najisomeaa Tu na sijui napenda kusoma au natafuta nini katika kujisomea Hali hii inanifanya nisipende kuwatafuta watu wangu wa karibu kwenye simu,marafiki zangu ni walewale wa siku zote walionizoea since sina mlango Kwa marafiki wapya Yani hata kazini sina wakusema ni mshikaji ila wananipenda nadhani Kwa sababu siko kwenye upande wowote wa wafanyakazi wenzangu pia Mimi ni mbishi nasimamia misimamo yangu Tu ila sio Kwa sauti so huwezi kunipinga,since sipendi mikusanyiko sio mtu wa majumba ya ibada ila getto nipo full biblia na Qur'an nnazo na nasoma Sana vitabu vya theology...
Pole sana, hilo ni tatizo kabisaaa.
Self isolation ni dalili mbaya ambayo inauhusiano na ugonjwa wa SONONA ambao mara nyingine unaweza kukuletea kujiua au mawazo yake(suicidal ideation)..
Hata katika mazingira ya kawaida ukiona ndugu anaanza kujitenga tenga jua kifo chake kinakaribia..
 
Wewe Wamarekani wangekuita "weirdo". Watu hatari sana kwenye jamii ambao baadhi wanaishia kuwa serial killers kama Jeffrey Dahmer, et al. Utakuwa una mapungufu ya chemicals fulani kwenye ubongo wako.
 
Nina miaka 25 Jamani Mimi huwa nashangazwa na baadhi ya tabia zangu mfano napenda kujitenga mwenyewe kimya, au nasikiliza mziki Kwa sauti ya Chini mno,nnaposema napenda kujitenga ni pamoja na kuchukia kampani ya mtu yoyote Yule Yani Mimi nusu saa huku namsikiliza mtu au watu wakiongea kwangu ni kero sana..nikiwa mwenyewe kimya mara nyingi najisomea vitabu nakuwa na furaha pia nahisi Sura yangu ikiondoa mikunjo, ila nikiwa na rafiki yangu yoyote nakuwa nahisi kabisa kuwa anagundua namna nnavyoboeka..napenda mahusiano ila nikikaa na girl Tu mara ya Kwanza ya pili zile exaggerations zao zinaniboa au wakija getto redio sauti ya juu na ni relationships nyingi nimevunja mwenyewe Kwa kuomba kuachana ambapo wengi wakiuliza tatizo nini niliwajibu haikupangwa tuwe pamoja na ila uwa wananiachia kibwagizo kuwa siko sawa,sio muongeaji kabisa kazini ambako ndo mahali pangu pagumu mno kuishi uwa nachukuliwa mtu makini, mstaarabu uwa wanadhani ni mtu nnaewasikiliza Sana ila mara nyingi uwa sijui huwa wanazungumzaga nini maana ni kama nakuwa katika ulimwengu wangu ila wao wanapiga kelele kuni disturb Girl ukiona nimekuapproach ujue hakika wewe ni mrembo maana mpaka kufikia umri huu nimewahi kutongoza kama mara mbili Tu ila wengi uwa wanajiweka kwenye reli kama kuniactivate

Jamani naomba msaada Nina mambo mengi naweza kukaa ndani kuanzia ijumaa jioni Hadi jumatatu asubuhi najisomeaa Tu na sijui napenda kusoma au natafuta nini katika kujisomea Hali hii inanifanya nisipende kuwatafuta watu wangu wa karibu kwenye simu,marafiki zangu ni walewale wa siku zote walionizoea since sina mlango Kwa marafiki wapya Yani hata kazini sina wakusema ni mshikaji ila wananipenda nadhani Kwa sababu siko kwenye upande wowote wa wafanyakazi wenzangu pia Mimi ni mbishi nasimamia misimamo yangu Tu ila sio Kwa sauti so huwezi kunipinga,since sipendi mikusanyiko sio mtu wa majumba ya ibada ila getto nipo full biblia na Qur'an nnazo na nasoma Sana vitabu vya theology...

Pima group la damu mkuu utakuwa na A+ na herufi ya jina lako inaanza na M so mko hivyo na mnapenda kuwa makini na kila kitu kufanya kwa usahihi kila jambo watu wakujari muda sana ni watu wanao amini wakikutana na rafiki au jamaa muda wa kuongea vitu vya maana ni dk 5 au 10 zinazo zidi hapo ni polojo hivyo hawapendi polojo
 
Hakuna tatizo lolote hapo , wewe ni INTROVERT cha msingi jitahidi ujue BIG FIVE PERSONALITY yako utanishukuru.

Kwani unafanya kazi gani?
Hapo kwenye big five nigusie na mm
 
Hauna tatizo lolote bali wewe ni introvert, ni aina ya watu wa kimya wenye kufikiri zaidi na wanapata energy zaidi kutoka ndani mwao tofauti na extrovert ambao wao ni wacheshi na wanapata energey zaidi kutoka kwa wengine huwa ni waongeaji sana. Ni aina tu ya personality...google introverts utaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom