Msaada: Asili yangu inanishangaza

Msaada: Asili yangu inanishangaza

MMuongo Sana wew kijnaa duh hyo haipogo eti unajifungua ndani kijna a acha upuuzi ustuone watoto wenzio unasema huna marafiki hao unaowapigia unawatoa wapi
Nina miaka 25 Jamani Mimi huwa nashangazwa na baadhi ya tabia zangu mfano napenda kujitenga mwenyewe kimya, au nasikiliza mziki Kwa sauti ya Chini mno,nnaposema napenda kujitenga ni pamoja na kuchukia kampani ya mtu yoyote Yule Yani Mimi nusu saa huku namsikiliza mtu au watu wakiongea kwangu ni kero sana..nikiwa mwenyewe kimya mara nyingi najisomea vitabu nakuwa na furaha pia nahisi Sura yangu ikiondoa mikunjo, ila nikiwa na rafiki yangu yoyote nakuwa nahisi kabisa kuwa anagundua namna nnavyoboeka..napenda mahusiano ila nikikaa na girl Tu mara ya Kwanza ya pili zile exaggerations zao zinaniboa au wakija getto redio sauti ya juu na ni relationships nyingi nimevunja mwenyewe Kwa kuomba kuachana ambapo wengi wakiuliza tatizo nini niliwajibu haikupangwa tuwe pamoja na ila uwa wananiachia kibwagizo kuwa siko sawa,sio muongeaji kabisa kazini ambako ndo mahali pangu pagumu mno kuishi uwa nachukuliwa mtu makini, mstaarabu uwa wanadhani ni mtu nnaewasikiliza Sana ila mara nyingi uwa sijui huwa wanazungumzaga nini maana ni kama nakuwa katika ulimwengu wangu ila wao wanapiga kelele kuni disturb Girl ukiona nimekuapproach ujue hakika wewe ni mrembo maana mpaka kufikia umri huu nimewahi kutongoza kama mara mbili Tu ila wengi uwa wanajiweka kwenye reli kama kuniactivate

Jamani naomba msaada Nina mambo mengi naweza kukaa ndani kuanzia ijumaa jioni Hadi jumatatu asubuhi najisomeaa Tu na sijui napenda kusoma au natafuta nini katika kujisomea Hali hii inanifanya nisipende kuwatafuta watu wangu wa karibu kwenye simu,marafiki zangu ni walewale wa siku zote walionizoea since sina mlango Kwa marafiki wapya Yani hata kazini sina wakusema ni mshikaji ila wananipenda nadhani Kwa sababu siko kwenye upande wowote wa wafanyakazi wenzangu pia Mimi ni mbishi nasimamia misimamo yangu Tu ila sio Kwa sauti so huwezi kunipinga,since sipendi mikusanyiko sio mtu wa majumba ya ibada ila getto nipo full biblia na Qur'an nnazo na nasoma Sana vitabu vya theology...

sa
 
Kifupi watu wasizunguke unashida ya akili. Wahi hospital
Pia nikushukuru kwakumaliza Uzi salama kujinasibisha na mambo ya TISS na upelelezi
 
Asili yako na kujitenga wapi na wapi?
 
ID yako ni greatthinker. Umeeleza tabia za introvert. Introvert ni mtu mwenye uwezo mkubwa kiakili na maana hiyo hapendi kampani bali anapenda kuwa peke yake na si mwongeaji.

Huo siyo ulemavu ni kawaida
 
Hakuna tatizo lolote hapo , wewe ni INTROVERT cha msingi jitahidi ujue BIG FIVE PERSONALITY yako utanishukuru.

Kwani unafanya kazi gani?
 
We bado sana subili ukue kwanza
Nina miaka 25 Jamani Mimi huwa nashangazwa na baadhi ya tabia zangu mfano napenda kujitenga mwenyewe kimya, au nasikiliza mziki Kwa sauti ya Chini mno,nnaposema napenda kujitenga ni pamoja na kuchukia kampani ya mtu yoyote Yule Yani Mimi nusu saa huku namsikiliza mtu au watu wakiongea kwangu ni kero sana..nikiwa mwenyewe kimya mara nyingi najisomea vitabu nakuwa na furaha pia nahisi Sura yangu ikiondoa mikunjo, ila nikiwa na rafiki yangu yoyote nakuwa nahisi kabisa kuwa anagundua namna nnavyoboeka..napenda mahusiano ila nikikaa na girl Tu mara ya Kwanza ya pili zile exaggerations zao zinaniboa au wakija getto redio sauti ya juu na ni relationships nyingi nimevunja mwenyewe Kwa kuomba kuachana ambapo wengi wakiuliza tatizo nini niliwajibu haikupangwa tuwe pamoja na ila uwa wananiachia kibwagizo kuwa siko sawa,sio muongeaji kabisa kazini ambako ndo mahali pangu pagumu mno kuishi uwa nachukuliwa mtu makini, mstaarabu uwa wanadhani ni mtu nnaewasikiliza Sana ila mara nyingi uwa sijui huwa wanazungumzaga nini maana ni kama nakuwa katika ulimwengu wangu ila wao wanapiga kelele kuni disturb Girl ukiona nimekuapproach ujue hakika wewe ni mrembo maana mpaka kufikia umri huu nimewahi kutongoza kama mara mbili Tu ila wengi uwa wanajiweka kwenye reli kama kuniactivate

Jamani naomba msaada Nina mambo mengi naweza kukaa ndani kuanzia ijumaa jioni Hadi jumatatu asubuhi najisomeaa Tu na sijui napenda kusoma au natafuta nini katika kujisomea Hali hii inanifanya nisipende kuwatafuta watu wangu wa karibu kwenye simu,marafiki zangu ni walewale wa siku zote walionizoea since sina mlango Kwa marafiki wapya Yani hata kazini sina wakusema ni mshikaji ila wananipenda nadhani Kwa sababu siko kwenye upande wowote wa wafanyakazi wenzangu pia Mimi ni mbishi nasimamia misimamo yangu Tu ila sio Kwa sauti so huwezi kunipinga,since sipendi mikusanyiko sio mtu wa majumba ya ibada ila getto nipo full biblia na Qur'an nnazo na nasoma Sana vitabu vya theology...
 
amna ni kawaida kuna watu tupo hivo... me pia nna rafiki mmoja tu ambaye alkuwa room mate wangu chuo, nnapendelea zaidi kuwa peke yangu kuliko kuchangamana na watu, napenda pia kusoma biblia,novels,makala mbalimbali nk.
 
Back
Top Bottom