Msaada, Application za vyuo vya nje

Msaada, Application za vyuo vya nje

Mapondo Mapoka

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
274
Reaction score
135
Habari zenu wakuu?

Naombeni mnisaidie,ni njia gani rahisi naweza kuitumia kufanya application ya Post Graduate South Africa ili nisichelewe kwani natarajia kuanza mwaka huu wa kimasomo.

Kama kuna Mwenye uelewa zaidi tafadhari Naombeni mnijuze kwani mimi ni mgeni katka mambo haya.

Asanteni.
 
Huwez kwa sasa, hadi next year maana saiv zimeisha lkn pia huwa zipo chache sana kutokana na fakat unayotaka
 
Kwahiyo kwa namna yoyote ile haiwezekan mkuu?

Kwa sasa ngumu, maana intake ni Sept, mim nimefanya interview mwez wa tano tareh 1,lkn majibu ndo yametoka ya kwenda uturuk, napia nilikua interested na south Africa bt registration hakuna had march
 
Asante sana mkuu,kwahyo applicatiion ya next academic year mwezi gani tena kwa South Africa?
 
mi ni fom6 nna dream ya kusoma makelele kampala ila cjui ntaanzia wap Mpambalachuma
 
Back
Top Bottom