Msaada application ya facebook kwa android ukiacha ile ya facebook special kwa Android

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
Habarini wadau naomba kama kuna application ambayo naweza kutumia facebook ukiachana na ile facebook special kwa Android mnijulishe hii special inakuwa slow then inachukua space kubwaa sana Asanteni!!
 
Mie nilikua natunia Friendcaster iko poa sana, ipo ya bure na ya kulipia, unaweza kupata ya kulipia bure just search it in 4shared au Blackmart app
 
Back
Top Bottom