Msaada,Application UDOM

Msaada,Application UDOM

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
17,315
Reaction score
46,859
Wakuu nilikuwa namfanyia dogo application UDOM,sasa kwenye zile three choices naona kama wanataka nijaze zote,mimi nataka nimuombe moja tu..nifanyaje hapa wakuu??
 
choice unayotaka wewe ni moja au sijaelewa,,,,
au kwenye hizo choice tatu inatokea course moja tu au?
Nataka niombe kozi moja tu..sasa kwenye kujaza wameweka choices tatu yaani nichague kozi tatu tofauti ndo nisubmit..
 
It means unatakiwa uwe na choice zaid ya moja ili ukikosa hyo unayoitak bas upate nyingine japo nadhn hat ukichaguliwa ambayo hujaitaka kuna uwezekn wa kubadili ukifika chuoni cha msingi uchaguliwe then kam cyo ur choice utabadili mbele ya safr
 
Mkuu katika maisha Plan A ikifeli unaangalia Plan B na yenyewe ikifeli basi lazima utakomaa na Plan C sasa ww inaonekana umekomalia tu PLAN A ndo nyie mwisho wa siku mkikosa round ya kwanza mnaanza kuhaha mpaka mnaishia kuhairisha chuo so kuwa makini kijana....
Wakuu nilikuwa namfanyia dogo application UDOM,sasa kwenye zile three choices naona kama wanataka nijaze zote,mimi nataka nimuombe moja tu..nifanyaje hapa wakuu??
 
Mkuu katika maisha Plan A ikifeli unaangalia Plan B na yenyewe ikifeli basi lazima utakomaa na Plan C sasa ww inaonekana umekomalia tu PLAN A ndo nyie mwisho wa siku mkikosa round ya kwanza mnaanza kuhaha mpaka mnaishia kuhairisha chuo so kuwa makini kijana....
nimekuuelewa mkuu kwanini huangaike na plan B na C wakati wewe unataka plan A,,,
Ni bora upoteze mwaka kuliko kusomea kitu ambacho haukipendi,,,
 
Kwa system ya sasa hivi (maombi directly chuoni) unaweza kujaza 3 as long as ile unayoitaka inakuwa namba ONE. Ukichaguliwa namba 2 au 3 ina maana umekosa namba one na sio lazima uende ukasome hiyo. Ukijaza na vyuo vingine inakuwa bomba zaidi.
 
Nimekupata mkuu
 
Poa mkuu,,nimefanya hivyo nimekamilisha mchongo
Sasa kilichobaki ni dua ili aweze kupata nafasi.

Mwaka jana dogo langu alipata changamoto sana ya kupata nafasi japo alikuwa na ufaulu mzuri(One point 7- PCB).

Alikuja kupata nafasi kwa awamu ya pili ya App kwa kozi ya Nursing ambapo alitaka MD, ila baadae alikuja kufanikiwa kubadili kwenda MD.

App ya awamu ya 2 nilikuja kumfanyia UDOM baada ya kukosa nafasi awamu ya kwanza ya App MUHAS, UDOM, KCMC. Masharti ya Udom yalikuwa kama hayo uliyoyakuta sasa.
 
PCB imekuwa ngumu sana one ya 7 na bado kupata first round mtiti..

Kweli aisee,ishu ni dua tu ili achaguliwe..
 
Sasa kilichobaki ni dua ili aweze kupata nafasi.

Mwaka jana dogo langu alipata changamoto sana ya kupata nafasi japo alikuwa na ufaulu mzuri(One point 7- PCB).

Alikuja kupata nafasi kwa awamu ya pili ya App kwa kozi ya Nursing ambapo alitaka MD, ila baadae alikuja kufanikiwa kubadili kwenda MD.

App ya awamu ya 2 nilikuja kumfanyia UDOM baada ya kukosa nafasi awamu ya kwanza ya App MUHAS, UDOM, KCMC. Masharti ya Udom yalikuwa kama hayo uliyoyakuta sasa.
One ya saba alikosa nafasi kcmc ?
 
One ya saba alikosa nafasi kcmc ?
Round ya kwanza alikosa, akaja kapata round ya pili.

Kwa MUHAS walisema alichelewa kuapply, wakachagua watu wa mwanzo wenye sifa ambao walifit idadi wanayoihitaji. Kwa hiyo yeye akatemwa.
 
Anhaa kumbe alichelewa kuna dogo kapata ya nane tumeomba vyuo vyote vya serikali na bugando

Ndio hivyo, mimi ndio nilimfanyia kabisa yaani wiki ya kwanza walipotangaza tu.

Nilipoenda kufuatilia sababu ya kutemwa, nikaoneshwa majina ya walioomba nikakuta nyomi ya watu, huku dogo akiwa mtu wa 207 kwa kuapply MD, Chuo wao walihitaji watu 180, kwa hiyo wale 180 wa mwanzo wenye sifa wakapata nafasi
 
Back
Top Bottom