Inakubali....kanunue tu.jamani naomba mnisaidi kama kila simu ya android inakubali whatsapp, mana nataka kununua na haswa nataka Samsung Gt5570
msaada wenu plz.
jamani naomba mnisaidi kama kila simu ya android inakubali whatsapp, mana nataka kununua na haswa nataka Samsung Gt5570
msaada wenu plz.
simu za android zinakubali whatsapp, yangu hii hapa chini
![]()