Msaada: Anayejua ofisi za Erolink zilipo!

Msaada: Anayejua ofisi za Erolink zilipo!

Wakuu kwa aliyeconfirm ofc za erolink...
Erolink unaweza kupeleka hapo morocco au huku mikocheni karibu na chuo cha tumaini km unaelekea cocacola..mimi nataka nipeleke jumatatu na pia nitapeleka hallotel..na wewe jaribu uwezi jua bahati yako
 
OK. Morocco, Wapo jengo gan mkuu?
Shuka pale morocco ili usipotee pale kuna bajaji waambie wakupelek erolink ni elfu moja tu mpk hapo..ila sio mbali ila kwa sababu ni mgeni fanya tu hivyo au ukishuka hapo waulizie wa boda boda ilipo ofis zao
 
Asante Mkuu, c ni unamaanisha morocco baada ya kinondon, ambapo kuna jengo kubwa la airtel. Na sio Morocco ya Magomen.?
 
Kwa ss wanapatikana Mikochen kwa Warioba ukishuka kwenye daladala kama unatokea kawe upande wa kulia utaona jengo limeandikwa Kida plaza wanapatikana gorofa ya pili
Wako Morocco acha kumdanganya dogo ukishuka Morroco nenda hadi nyuma ya sheli ya total/bonjour kuna kampuni pembeni inaitwa intergrated communiction nyoosha na hiyo barabara ya udongo had mwisho au waulize walinz utakao waona pembeni ya intrgrated comm
 
morroco ya airtel au kwene stand ya Dart kwa pembeni ndo kuna sheli nyuma ya hiyo shel ndo kuna barabara ya kuelekea erolink
 
WakAo Morocco acha kumdanganya dogo ukishuka Morroco nenda hadi nyuma ya sheli ya total/bonjour kuna kampuni pembeni inaitwa intergrated communiction nyoosha na hiyo barabara ya udongo had mwisho au waulize walinz utakao waona pembeni ya intrgrated comm
Wako Morocco acha kumdanganya dogo ukishuka Morroco nenda hadi nyuma ya sheli ya total/bonjour kuna kampuni pembeni inaitwa intergrated communiction nyoosha na hiyo barabara ya udongo had mwisho au waulize walinz utakao waona pembeni ya intrgrated comm
Una uwakika gani km kamdanganya?ni kweli hata hapo kwa walioba wana ofisi zao ila kwa sasa wamesitisha kupokea barua ukienda wanakuambia upeleke morroco
 
Back
Top Bottom