mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 367
Habari zenu..naomba kwa anayejua ofisi ya erolink ya masaki unateremkia kituo gani nikiwa natokea msasani
unashuka masaki mwisho daladala zinaposhukia, then ukishuka pale stand we uliiza mgahawa wa Marry Brown watakuonesha coz marry brown inapakana na ERO LINK.... LAKINI ERO LINK WALISHAHAMA MASAKI WAPO MORROCO NYUMA YA GAPCO OIL STATION....
VP Mkuu uliwapata? Ofisi zao zpo wap?Habari zenu..naomba kwa anayejua ofisi ya erolink ya masaki unateremkia kituo gani nikiwa natokea msasani
Kituo cha kushukia kinaitwaje ukiwa unatokea Kinondoni?Kwa ss wanapatikana Mikochen kwa Warioba ukishuka kwenye daladala kama unatokea kawe upande wa kulia utaona jengo limeandikwa Kida plaza wanapatikana gorofa ya pili
Nilishawahi kwenda mikocheni wakasema hawapokei hd niende moroccoKwa ss wanapatikana Mikochen kwa Warioba ukishuka kwenye daladala kama unatokea kawe upande wa kulia utaona jengo limeandikwa Kida plaza wanapatikana gorofa ya pili
Ulienda, uliwakuta?Nilishawahi kwenda mikocheni wakasema hawapokei hd niende morocco
Quality Center, Pugu road.Tusaidiane pia kwa anayejua ofisi za halotell wanapopokea cv
kwani hawapokei CV kwa njia ya email?Ulienda, uliwakuta?
Kwa email utaitwa mwakani kwenye interview ni bora upeleke ... ' pia hakikisha kweny cv unaandika unakaa dar kufanikisha hilo kwamba wanataka mkazi wa dar kwenye kazi ya customer care huwa wanakupa taharifa jioni kwamba kesho asubh ni interviewkwani hawapokei CV kwa njia ya email?
Kanuga samahani kwani huwa wanakazi zingine tofauti na customer care na mimk nipeleke CV yangu maana kibarua changu kinaisha kesho kutwa.Kwa email utaitwa mwakani kwenye interview ni bora upeleke ... ' pia hakikisha kweny cv unaandika unakaa dar kufanikisha hilo kwamba wanataka mkazi wa dar kwenye kazi ya customer care huwa wanakupa taharifa jioni kwamba kesho asubh ni interview
Yah nilimkuta mdada reception akasema hawapokei niende moroccoUlienda, uliwakuta?
Ok naomb maelekezo vizuri mydia..pale qualty cntr kuna ofisi zao za halotell,inaitwaje au niulizie tu ofis y halotellQuality Center, Pugu road.
Hapana, ni ison ambao wanafanya kaz kma agent wa Halotel. Na Morocco has Erolink ni sehem gan, jengo, floor, etc. ..Ok naomb maelekezo vizuri mydia..pale qualty cntr kuna ofisi zao za halotell,inaitwaje au niulizie tu ofis y halotell
Empower mambo ya solar na customer care ndizo nazozijuaKanuga samahani kwani huwa wanakazi zingine tofauti na customer care na mimk nipeleke CV yangu maana kibarua changu kinaisha kesho kutwa.