Msaada: Anayejua mahari za wamasai anisaidie

Msaada: Anayejua mahari za wamasai anisaidie

Wenyewe tupo hapa hyo ni biashara kama biashara zingine so tuma wazazi wako wakaelewane na wazazi Wa upande Wa pili alafu inategemeana huyo unayemuoa ni mmasi original hajachanganya damu na makabila mengine

kama hvyo kijana ujiandaee maana kama Moro Pwan Arusha baadhi ya wilaya not Mjin ngombe 12 na kuendelea +mmoja Wa Mjomba +mishuka mengimengi sana la shangazi bibi babu na wengine wanahousika na undugu + ngombe mmoja mkubwa sana Wa kuchinjwa
 
Ila kijana jipange hao siyo hao Wa kwenu Wa kuoa kwa 500000 kama injin ya Suzuki carry alafu huyo anayesema.humalizii mahar mwongo cox ukija kuzaa humpeleki mtoto jando mpaka umalizie mahar. Na mwingine kasema m 1.2 kajaribu uone kama hujatolewa baru kwan unafikir kuoa mmasai kama ununua bodaboda
 
Wanabodi habari za jioni,
Naomba mnisaidie,yeyote anayefahamu utaratibu wa mahari kwa ndugu zetu wamasai umekaaje anisaidie,nakaribia kwenda umasaini kwa issue za mahari,mwenye uzoefu aumwage hapa ikiwa ni pamoja na gharama au vitu wanavyohitaji

Nawasilisha[/QUOmeusi.
M/make mweupe ng'ombe mingi sana kuliko meusi
WE ANDAA NG'OMBE ZA KUTOSHA TU.
hawana noma wale
 
Nashukuru sana wadau kwa msaada wenu,kama kuna nyongeza naomba muendelee kunipa hints muhimu nijitose
 
hahahha nilikuwa nasikia,tulipomaliza darasa la saba form one nilichaguliwa Oldonyosambu,Nduruma huko kwenye maembe,na oldadai,ila nilichagua oldadai,hheehe tulikuwa tunaenda kuchota maji kule alaluwa,ukichelewa unarudi na kichura chura

una experience ya kutosha masai land
mi ni,esoma longido
 
Toa maelezo yako ya kina ueleweke sio issue ya kupotea kuoa mmasai,wamasai wana nini,una experience na wamasai?je wamasai wote ni sawa na uliyewahi kuwa naye wewe,I always oppose the fallacy of generalization
 
Umepotea kamanda kuona masai!

Toa maelezo yako ya kina ueleweke sio issue ya kupotea kuoa mmasai,wamasai wana nini,una experience na wamasai?je wamasai wote ni sawa na uliyewahi kuwa naye wewe,I always oppose the fallacy of generalization
 
kama ni wa kabila lingine unatafuta familia ya kimasai ambayo unaifahamu yenyewe ndio itasimama kama familia yako kukusaidia kufuatilia mambo kwa wakwe zako.

Wamasai ni wakarim sana ila ukisema uende wewe mkabila itakuletea ugumu fulani, mdogo wangu aliolewa na mkabila nikaona wamefanya hivo bt me nipo na morani ahahahaaaa

then mahari inategemea na boma ila ningeshauri muombe kupeleka kwa mara moja maana ukianza kufuata kila hatua utajikuta mwaka mzima unachumbia tu, yangu ililipwa kwa pamoja, nachoka kuandka badae ntarudi hapa
 
Ila kijana jipange hao siyo hao Wa kwenu Wa kuoa kwa 500000 kama injin ya Suzuki carry alafu huyo anayesema.humalizii mahar mwongo cox ukija kuzaa humpeleki mtoto jando mpaka umalizie mahar. Na mwingine kasema m 1.2 kajaribu uone kama hujatolewa baru kwan unafikir kuoa mmasai kama ununua bodaboda

mahari haiishi besti, baba yangu analipa hadi leo ila unalipa kwa matukio yaani kutoa msaada wako mfano shemeji yako akipelekwa jando unamsimamia na kumtunza na vitu kama hivyo.
 
Ukisha oa sahau kuhusu kuvunja ndoa....siku ukilopoka mnaachana na mkeo unafungasha tena team kama unapoenda kuoa...lazima ukatoe sababu 100 za kuachna.ukizingua utachomwa kama mishikaki ya mbuzi
 
Ukisha oa sahau kuhusu kuvunja ndoa....siku ukilopoka mnaachana na mkeo unafungasha tena team kama unapoenda kuoa...lazima ukatoe sababu 100 za kuachna.ukizingua utachomwa kama mishikaki ya mbuzi

Ha ha ha........cc OLESAIDIMU .................... King'asti kwa maelezo ya ziada.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi habari za jioni,

Naomba mnisaidie,yeyote anayefahamu utaratibu wa mahari kwa ndugu zetu wamasai umekaaje anisaidie,nakaribia kwenda umasaini kwa issue za mahari,mwenye uzoefu aumwage hapa ikiwa ni pamoja na gharama au vitu wanavyohitaji.

Nawasilisha
Ahaha...mkuu ushaoa....nilikua na search mambo ya mahari ikaja thread hii yako. Kiukweli wamasai wanataka ngombe si chini ya watano ambao ni km miliono na laki 5 hv...chukua mmasai huyo uone walivyo...ahahaaaa
 
hatimaye nina rafik yangu ofisini anaenda kuoa muarusha
 
Back
Top Bottom