Msaada anayeijua Tanga Tech

Msaada anayeijua Tanga Tech

mkuu uko wapi kwa sasa unaonekana uko very updated na shule yako sana Hio flat nimeiona ata mimi juzi
Ktk maelezo yako naiona shule nyingine nzuri ya ufundi Moshi ...Moshi Ufundi na Tanga School walikuwa na mahusiano mazuri sana back then sijui Kwa sasa!
 
Mi nilikuwa Simba wing no 4 tunaiita 'jamaica corner' enzi hizo

The Boss, mwaka gani ulikaa hapo Kiungani ?
Mimi nilikuwa Simba pia, Wingi namba Moja pale chini karibu na laundry....
Dah, Umenikumbusha longi kichizi... Wingi namba Nne kule juu Kuna vyoo na bafu tulikuwa tunaita KAKUNYU, sijui Enzi zenu mlipaitaje. Enzi zetu KAKUNYU palikuwa hapaogei tena ni chimbo la Msuli na kupiga Vyuma
 
Shule nzuri mazingira yake mazuri sana,inawezekana ikawa hiyo ndiyo shule ya serikali yenye mazingira mazuri kuliko zote baada ya Kibaha secondary

Teh Teh.... Basi mimi nitakuwa nimebahatika kupitia "mazingira mazuri"... O level nilisoma Tanga Tech NA A Level Kibaha Secondary
 
The Boss, mwaka gani ulikaa hapo Kiungani ?
Mimi nilikuwa Simba pia, Wingi namba Moja pale chini karibu na laundry....
Dah, Umenikumbusha longi kichizi... Wingi namba Nne kule juu Kuna vyoo na bafu tulikuwa tunaita KAKUNYU, sijui Enzi zenu mlipaitaje. Enzi zetu KAKUNYU palikuwa hapaogei tena ni chimbo la Msuli na kupiga Vyuma

Hadi naondoka ilikuwa tunaita hivyo hivyo KAKUNYU
 
Back
Top Bottom