Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
Nimesoma maelezo yao kwenye mtandao kamaa
inavyoonekana hapo chini. Naomba msaada kwa
yeyote anayeifahamu wasiwe matapeli.
SOCIAL CREDIT COMPANY ni Taasisi ya kifedha
inayohusika na utoaji mikopo nafuu na isiyokua
na riba kupitia mfuko maalum uitwao Social
Credit & Loans kwa dhumuni la kuwawezesha
wajasiriamali wadogo na wakubwa nchini
Tanzania kwa kuwapatia mikopo ya pesa kwa
lengo la kumuinua kiuchumi mtanzania na
kumletea maendeleo ili aweze kujikimu
kimaisha kwa dhana yakinifu kutaka
kutokomeza umasikini.