Ila uwinga unakuaga automatically tyuuh!! Niliwahi jaribu kipindi fulani, nilifanya vyema ilaa aaah sikutokea kuupenda nikaupiga chini.
Nilifanya ili nipate ABC za biashara kwa undanii, afu sio lazima iwe KKOO, mbona hata sehemu ingine, tena km ana smartphone ndo kabisaa simple tyuuh.