Msaada anataka kutoroka kazini aende masomoni

Nasikia Hawaajiri Mara2 Ndo Mana Namshauri Mwalimu Asitoroke Atakojoa Dagaa
 
Siku Izi Kuna Kitu Inaitwa LAWSON inahusika na management of human resources.Data Za Aliyeaajiriwa Ziko Hapo.Ukikatwa Mshahara Na Kufutwa Utumishi Data Zako Zinabaki Na Hata Ukiomba Ajira Wakikuingiza Kwe Payroll Inaonyesha Vyeti Vyako Vimetumika.
 

Hii ndiyo solution bora zaidi km wamekugomea kwenda kusoma. Wengi wanatumia njia hii.
 
Afu Akifutwa Utumishi Utamwajiri Wewe??
Kwani akiyoroka ndo anafutwa kazi na utumishi au kazi tu ,bila utimishi ?na kuna mwalimu alitoroka akafutwa kaxi bila utumishi,alipomaliza chuo akaapply tena kwa cheti cha degree akapata je mtu ka hiyoalifanyaje
 
Huyo mwl, na nahisi ni wewe mwenyewe mleta uzi, atakuwa na uwezo mdogo sana wa kuchambua 'Risks' kiasi kwamba anadhani anaweza toroka kazi (kwa serikali hii ya awamu ya 5) akaenda masomoni halafu akawa salama, hiyo haiwezekani katu. Kitakachotokea ataondolewa kwenye payroll, atafutwa kazi na utumishi kimoja. Yeye aamue tu kwamba liwalo na liwe aende masomoni na yabaadae atayashughulikia huko mbele ya safari siyo kuleta ujanjaujanja enzi hizi!
 

eJe mtu aliyefutwa enzi zile kabla ya ya uongozi wa magu inakuwaje huyu,maana kwenye uhakiki wa mwaka huu hayupo je anaweza kupata kibali cha kurejea kwa ajira upya au mzee magu atakuwa amefuta mazma kwenye pa
 
 
Kama ana mpango wa kujiajiri baada ya kupata hiyo shahada atoroke, ajira zenyewe sidhani kama zitakuwa rahisi after few years. Degree hailiwi, aache ulimbukeni asubiri ruhusa. Vyuo vipo tu na nafasi huwa hazijai miaka yote.
 
Kila kitu halmashaur huanzia kwenye mpango. Plan au bajeti aingize jina kwenye mpango kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…