Jiulize kama na wewe unampenda au la unataka kuolewa tu, ila kama unampenda utaheshimu mawazo yake na kiu ya kuwa na mtoto na kama wewe huwezi kumzalia inabidi umsikikize yeye anaamua nini akiamua kuoa kubali tu maana hakuna namna ila huyo atakaye olewa awe mke wa nje na wewe mke mkubwa