Msaada: Ananipenda lakini hataki kunioa

Huyu anataka kuendelea kuingia kwenye papuchi tu ili kumaliza nyege zake, hakupendi. Tia akili kichwani na usepe haraka sana.

Umri wangu 30 ni mwanamke napendwa na huyu kaka lakini kunioa hataki ,tatizo ni mm sina uzazi.

Anataka kuoa mwanamke mwingine lakini kuniacha hataki na kuwa mchepuko sitaki .
Naomba ushauri wenu wauungwana
 
Kwa hiyo ukaona ndo anakupenda.wakati kukuoa hataki.shtuka
 
Lipia kwanza Tangazo kwa Management ya JF.

Ungesema unataka wa kugegedana tu mbona ungetupata... hilo la kuolewa tena mmh!
Ndiyo maana nawapenda wanaume wa humu..kimya kimya sisi tunahangaika kuchangia mada wao kimya kimya wamechangamkia fursa na uzi ndio umetelekezwa mzeee subiria mrejesho au ushauri wa kuachika
 
Pole mdada, lakini yeye anajuaje kama anauwezo wa kuzalisha? Isije ikawa janja ya nyani anaye jua baba wa mtoto ni mama wengi mbona wanalea watoto wasio wao? 30yrs bado achana naye utampata anaye kudhamini la sivyo ukiwa naye utatumika mwisho wa siku utaachwa kwenye majonzi ni heri kuumia sahizi kuliko ukiwa 45-50 utalia kilio cha mbwa mdomo juu.
 
Vipi huku hujapata bado? Na huyu unaemlalamikia ni yupi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…