Inamaana jiji kubwa namna hii la Mwanza hakuna fundi wa hiki kifaa???
Wana mwanza mnaniangusha.[/QUOTE
kama ni tatizo la lens error unaweza kusolve mwenyewe ,afu kuna kitu unakosea labda huhitaji kutengeneza hiyo camera
ungetoa tatizo lake nini ungepata msaada
Digital camera ni sawa na blender hakuna kutengeneza ikizingua unatupa
ulifanikiwa?Nipo Mwanza kwa sasa, naomba kwa yeyote mwenye kumjua fundi mzuri wa digital camera au hata simu hapa mjini anielekeze ofisini kwake kwani nina digital camera yangu imepata hitilafu sasa naogopa kupeleka kwa mafundi uchuro wasije wakaiua mazima.