Msaada!anaejua kutrace blackberry iliyoibiwa.please help!!!

Msaada!anaejua kutrace blackberry iliyoibiwa.please help!!!

Neno nalo

Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
67
Reaction score
54
Salaam!
Simu ya blackberry curve imeibiwa punde tu,naomba msaada wa wataalamu au wazoefu jukwaa hili kama kuna njia yoyote ya kuitrace ikapatikana.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom