Nyie ndio mnawatia majaribuni hatimaye kuwateka watumishi wa Mungu.
Ni heri umekumbana na huyo anapenda wanawake kwani huko nasikia mambo ni ile ile al maarufu kulawitiana wenyewe kwa wenyewe tu.
Nahisi kama anapewa kibuti tulivu ila hatambuihuyo sio mwaminifu kwanini asikuambie kila kitu tangu awali???
Nahisi kama anapewa kibuti tulivu ila hatambui
Ni heri umekumbana na huyo anapenda wanawake kwani huko nasikia mambo ni ile ile al maarufu kulawitiana wenyewe kwa wenyewe tu.
jamaa kaogopa kumwambia live kwamba tuachane,mwanaume anayekupenda hawezi akaficha anakoishi,michepuko ndo huwa hawaonyeshi na hawaambii sirina kibuti cha namna hii hakiumizi sana kwani anakumegea kidogo kidogo
kesho ataambiwa nimeamishwa nipo kigangwe cha MATOMBO
game is over