Msaada, amejifungua lakini maziwa hayatoki

Msaada, amejifungua lakini maziwa hayatoki

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,780
Reaction score
31,297
Waungwana mama kachanga maziwa hayatoki afanyeje?Mtoto analia njaa na maziwa hayatoki.Tunaumia mtoto kulia hivi kwa sababu ya njaa please.
 
Waungwana mama kachanga maziwa hayatoki afanyeje?Mtoto analia njaa na maziwa hayatoki.Tunaumia mtoto kulia hivi kwa sababu ya njaa please.
Usijali...waanze kwa maziwa ya unga..na baadae mzazi atajazia na kunyonyesha.. Mater of time..
 
Supu iwekee pilipili kwa mbali na hoho za kutosha.
 
Waungwana mama kachanga maziwa hayatoki afanyeje?Mtoto analia njaa na maziwa hayatoki.Tunaumia mtoto kulia hivi kwa sababu ya njaa please.

Mtoto mpatieni tumaji twa vuguvugu kwa sasa,hawezi kufa kwa njaa msihofu..mama anywe uji w pilipili manga kama ule wa mfungo wa ramadhani..baba ondoka nenda kwenye shughuli zako subiria sms ya mama kua maziwa yameshaanza kutoka..
 
Pilipili Manga!

Pilipili Manga!

Pilipili Manga!

Pilipili Manga!
 
Msicheze ule mchezo mpaka msziwa yameanza kutoka na mtoto ananyonya vizuri. Bila hivyo mtalea mapacha wa nje.
 
Pole mkuu mpe mama chakula cha kutosha yatatoka tuu
 
Pole mkuu mpe mama chakula cha kutosha yatatoka tuu
 
Ndiyo, sasa mtoto analia sn na itakuwa njaa
Ok, suala la lishe umeshauriwa na wadau.

Kua naye karibu, muonyeshe upendo. muhimize awe karibu na mtoto muda wote, AMNYONYESHE YAAN HATA KAMA MAZIWA HAYATOKI AMNYONYESHE.

Kadri mtoto anavyonyonya ndivo maziwa yanatengenezwa, na ndivyo maziwa yatakavyoanza kutoka na mtoto atanyonya vzuri.

Kwa sasa mtoto ana njaa, Nunua Glucose, uichanganye na maji ya uvuguuvugu kisha tumia mnyonyosheo kumpa mtoto ,wakati huohuo Baby mama wako anyonyeshe mara kwa mara .
 
Halafu ili yashtuke inahitajika kuyakamua ili matundu yazibuliwe huku ukimpa dogo naye anyonye ndo yanatoka.
 
Anywe vitu vya Moto Moto na uji wa pilipili manga yatatoka, kabla hayajaanza kutoka mutafutieni lactogen huyo mtoto
 
Halafu ili yashtuke inahitajika kuyakamua ili matundu yazibuliwe huku ukimpa dogo naye anyonye ndo yanatoka.
Huwa naona hukamuliwa kwa nguvu na kama kuyakanda kuzibua yatoke
 
Back
Top Bottom