mr kunambi
Member
- Apr 25, 2016
- 71
- 21
Tunaomba kujua hostel za nje zilizopo ajuco..kribu na school of medicine. Gharama zake na umbali pia.
Vp kwan ajuco washatoa majina kwa walioomba degreee????Tunaomba kujua hostel za nje zilizopo ajuco..kribu na school of medicine. Gharama zake na umbali pia.