Ndugu wanajf....nimejaribu kila mbinu za kupambana na maisha kasoro kuiba mpaka sasa sijafanikiwa...ndio kwanza naona maisha yanazidi kua magumu sana.
Anything u mention, nimejaribu bila mafanikio. Is like upo kwenye ulingo wa ngumi na unapigana na Mohamed Ally au Cheka. Kila ukirusha ngumi moja...unamiminiwa 30 za haraka haraka tena zenye maumivu mpaka unaanguka huku damu zikikutoka.
Sasa nimeamua kumuomba Mungu tu...naenda kwenye maombezi mbalimbali. Sometimes nafunga na kuomba...
Nimekua mtu wa kushinda ndani tu. Naona giza tu mbele yangu. Nipo lonely sana. Sina kazi wala kitu chochote cha kuniingizia kipato.
Kazi nimetafuta sana bila mafanikio. Biashara nimefanya pia.
Mpaka sasa sijakata tamaa kuomba ajira na kufikiria mbinu za kupata pesa. But nimekua wa kukaa tu sina uelekeo.
Kwa yeyote aliyewahi kua na hali hii...ilikuaje akajikuta anaanza kupata neema?
Nashukuru kwa majibu yenu. Kuna mmoja kanipa ushauri wa tiba asili. Kiukweli kabisa...siamini upande huo kabisa though niliwahi kwenda kwa wataalam kama 30 hivi tofauti bila mafanikio. Nikaamua kurudi kwa Mungu upya na kutubu. Na nilichukua mwaka mzima kujihusisha na tiba hizo na nilivyoona hazina tija nikaamua kurudi kwa Mungu.
Umri na elimu ni Degree...umri 35years.
Sina kibanda...kiwanja wala pesa ya kusema nitaanzisha biashara.
Kuhusu ndugu....ndugu zangu ni type ile ambayo ikimuona mtu yupo kwenye problems ndio wanafurahia. Ukiwa kwenye furaha wanapretend unafki.