Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development

Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote?

Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU I-TYPIWE NDIO NIPRINT NISIGN ALAFU NI SCAN? IPI NDIO INAYOPENDEKEZWA.?
 
Type, saini scan ndio utume, au type tafuta app ya kusign softcopy alagu utume
 
Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development

Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote?

Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU I-TYPIWE NDIO NIPRINT NISIGN ALAFU NI SCAN? IPI NDIO INAYOPENDEKEZWA.?
Huwezi kuomba nafasi zaidi ya moja kwenye taasisi moja, mfumo utakutema wakati wa kuitwa usaili, hvy Chagua moja tuu hapo.

Barua unaweza kuandika kwa mkono au ku-type, ila ushauri wangu type.

Kuna app unaweza kusign barua kwa mkono then ukai-paste kwenye barua, so fanya hvy.
 
Back
Top Bottom