Wadau naomba msaada wa kufanya manual configuration ya airtel internet. Nahitaji kufahamu

1. APN.

2. Gateway IP address

3. Gateway port.

hahahaaa....captain na wewe umekuwa muhanga wa simu za kichina kama mimi nini? Any way, kwakuwa mimi ni mteja wa Airtel, I can help. APN= internet.tz.airtel.com, IP address= 010.246.017.81. I hope nimekusaidia. Ukishindwa wapigie 100 watakusaidia

Mzee wewe unauliza dagaa kigoma? Simu ikigoma auto means ni mchina. Thank you kaka.