Msaada Airtel Internet

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
272
Wadau naomba msaada wa kufanya manual configuration ya airtel internet. Nahitaji kufahamu
1. APN.
2. Gateway IP address
3. Gateway port.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,313
2,619
Kwa nini unataka ujichoshe hivyo?au ni simu ya kichina? Maana za kichina baadhi ndo zinazogoma auto.

Chibidu

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
387
46
Wadau naomba msaada wa kufanya manual configuration ya airtel internet. Nahitaji kufahamu

1. APN.

2. Gateway IP address

3. Gateway port.

hahahaaa....captain na wewe umekuwa muhanga wa simu za kichina kama mimi nini? Any way, kwakuwa mimi ni mteja wa Airtel, I can help. APN= internet.tz.airtel.com, IP address= 010.246.017.81. I hope nimekusaidia. Ukishindwa wapigie 100 watakusaidia

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
272

hahahaaa....captain na wewe umekuwa muhanga wa simu za kichina kama mimi nini? Any way, kwakuwa mimi ni mteja wa Airtel, I can help. APN= internet.tz.airtel.com, IP address= 010.246.017.81. I hope nimekusaidia. Ukishindwa wapigie 100 watakusaidia

Mzee wewe unauliza dagaa kigoma? Simu ikigoma auto means ni mchina. Thank you kaka.

Chibidu

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
387
46

Mzee wewe unauliza dagaa kigoma? Simu ikigoma auto means ni mchina. Thank you kaka.

Thanx. nitafurahi kujua kama umefanikiwa

Shark's Style

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
304
160
Mie pia automatic configuration zimegoma ila yangu sio mchina ninatumia sonyericsson walkman 580i inagoma configuration zote za tigo na airtel so can anyone help me tigo configuration?

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
28,774
33,917
dah setting za zamani hizo new setting za airtel
apn: internet
port: no
ip: automatic
dns:automatic
proxy:none
homepage: airtellive.com

cha muhimu apn iwe interner then itafanya kazi.
Na kwa tanzania mitandao yote minne access point zao ni internet that mean mfano umeomba setting za airtel zikakataa unaweza omba za tigo, au voda au zantel then zikija ukatumia kwa airtel

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom